MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hayo unayoongea ni mambo mengine sasa. Cha muhimu elewa hizo hela anazo bila hata kuiba yaani kihalali.Kwamba kwa nchi ambayo watu kupata milo mitatu ni shida na wengine hata maisha ya ukoo mzima hawawezi kupata hata robo ya pesa hio kwa mwaka mtumishi wao kulipwa 18 na ziada nyingine ya kuwa Uwaziri unaona kwamba huo sio Wizi kwa Walalahoi ? Ukizingatia nchi hio wala sio sustainable na bajeti yake inaendeshwa kwa mikopo wanayolipa hao hao Masikini....