Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tutawasema wasiwe kama Assad clan.Yeye na mama mkwe wake + Abdul wanapiga pesa za umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutawasema wasiwe kama Assad clan.Yeye na mama mkwe wake + Abdul wanapiga pesa za umma
Hatujalala tupo Sawa sawa mkuu, Msiwe na Shaka kuhusu sisi warufijiTuna waamsha mkuu maana ni aibu tupu
Katika jamii kuna kila aina za watu kuna wapenda mpira, muziki na muvi n.k yeye kawagusa wapenda mziki na wamefurahi usichokipenda wewe wengine wanakipendaAnataka wenzake waendelee kukata viuno huku yeye anapiga pesa
Aibu sn jimbo lipo jirani na Dar lakini watu wake ni mafukara hadi aibu lakini familia ya Mchengerwa ni matajiri kupita kiasiTutawasema wasiwe kama Assad clan.
Mkuu natamani vijana kama nyie mgombee mlete maendeleo ya kweli na siyo huu utapeli wa mzee Mchengerwa na mama mkwe wakeHatujalala tupo Sawa sawa mkuu, Msiwe na Shaka kuhusu sisi warufiji
Kula na vipofu.Aibu sn jimbo lipo jirani na Dar lakini watu wake ni mafukara hadi aibu lakini familia ya Mchengerwa ni matajiri kupita kiasi
Wewe upo huko ubaruku una gombana na mtaalam Lucas Mwashambwa mkikumbuka way back huko tukuyu mara chunyaArusha mjini karibu mkuu
Wanatutia aibu watanzania wanakata viuno na shaga zao kiunoni huku Mchengerwa anatajirika kupitia migogo yao. Ni aibu tupuKatika jamii kuna kila aina za watu kuna wapenda mpira, muziki na muvi n.k yeye kawagusa wapenda mziki na wamefurahi usichokipenda wewe wengine wanakipenda
Huwa hatugombani ni dada angu nampenda sema tunatofautiana kimawazo sababu yeye yupo UWT nami ni mtu huru.Wewe upo huko ubaruku una gombana na mtaalam Lucas Mwashambwa mkikumbuka way back huko tukuyu mara chunya
Duuh Rufiji gani hiyo yenye Barabara ya kiwango cha juu?Ndio tunataka mchiliku na mnanda bila kusahau deda, Rufiji Fm ina kiwasha. Ujio wa studio utasaidia kukuza ajira katika upande huo
Kila Kaya yenye wasomi hakuna aliyebakia nyumbani karibu wote wanachapa kazi, barabara zipo kwa kiwango cha juu, hosp huduma nzuri, elimu shule zipo za kutosha, maji ya uhakika
Mambo mengine yanaenda kutatuliwa Kadri muda unavyoenda
Karibuni Rufiji
Mama mkwe anashangilia Rufiji kuwa masikini, siamini kama Mbunge mwenye akili timamu anaweza kuwaza kupeleka spika katikati ya ufukara kama ule, bora angewatengenezea hata kiwanda cha matunda au mihogo isafirishwe kupelekwa waarabuni sababu yeye tayari ana connection ya mama mkweKula na vipofu.
Ngoja aje ashushe gazeti kwa jambo dogo tu.Huwa hatugombani ni dada angu nampenda sema tunatofautiana kimawazo sababu yeye yupo UWT nami ni mtu huru.
Kama wewe si mwanarufiji tulia please acha kuwa Malaya wa majimbo 🤣Wakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
View attachment 3175511
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya wasanii wa Rufiji, Studio hii itasimamiwa na Mwanamuziki mzawa Marioo.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchengerwa abebelea mizigo ya vyakula kuwapa waathirika wa mafuriko Rufiji. Atoa milioni 4
Kule gari ni ya Mbunge, DC, DAS, DED na Mwenyekiti wa CCM Wilaya hivyo hawahitaji barabara nzuri wanapanda mitumbwiDuuh Rufiji gani hiyo yenye Barabara ya kiwango cha juu?
Unadhani hata asipojenga akiamua kuiba haibi?Wanatutia aibu watanzania wanakata viuno na shaga zao kiunoni huku Mchengerwa anatajirika kupitia migogo yao. Ni aibu tupu
Vijana wamepata ajira, vijana wameenda shule, hosp na vituo vya afya vya kutosha na sasa Kuna mpango wa kujenga hosp kubwa zaidiVipaumbele vyenu ni kukata viuno mkuu? amkeni amkeni mkuu
Halafu nani aajiriwe kwenye hivyo viwanda?Watatoka watu wa Kigoma,Tabora na Iringa kuajiriwa.Wewe waache wapate the real musique studio.😂😂Mama mkwe anashangilia Rufiji kuwa masikini, siamini kama Mbunge mwenye akili timamu anaweza kuwaza kupeleka spika katikati ya ufukara kama ule, bora angewatengenezea hata kiwanda cha matunda au mihogo isafirishwe kupelekwa waarabuni sababu yeye tayari ana connection ya mama mkwe
Hawezi kuja ni PS wa UWT sahivi yupo kazini boss wake yupo, pia amepewa pikipiki ya chama jioni anakula bodaboda Tunduma ZambiaNgoja aje ashushe gazeti kwa jambo dogo tu.
Kumbe bado upo ndotoni mkuu, amka usije ukajikojoleaKule gari ni ya Mbunge, DC, DAS, DED na Mwenyekiti wa CCM Wilaya hivyo hawahitaji barabara nzuri wanapanda mitumbwi
Mkuu hivi Rufiji wenyeji huwa ni kabila gani? nimesoma hapo Dar 2013-2016 sikuwahi kusikia mtu chuoni kwetu anatoka RufijiVijana wamepata ajira, vijana wameenda shule, hosp na vituo vya afya vya kutosha na sasa Kuna mpango wa kujenga hosp kubwa zaidi
IKWIRIRI inaenda kuwa mamlaka ya mji wa rufiji, barabara ya lam inajengwa ambayo ilipigiwa kelele miaka nenda rejea
Shule zipo za kutosha kuanzia English medium mpam kidato cha Sita za wavulana kwa wasichana
Viwanda vya kuchakata sukari nk
Veta ipo vijana wanapata elimu ya ufundi
Kituo cha radio watu wanapata taarifa muhimu kuhusu nchi yao pamoja na Burdani
Na mambo kedekede yanakuja
Karibu rufiji mkuu