Pre GE2025 Mchengerwa kutoa Milioni 60 kwa ajiri ya ujenzi wa Studio ya Muziki! Wana Rufiji hiki ndicho mmemuagiza mbunge wenu awaletee?

Pre GE2025 Mchengerwa kutoa Milioni 60 kwa ajiri ya ujenzi wa Studio ya Muziki! Wana Rufiji hiki ndicho mmemuagiza mbunge wenu awaletee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bora basi abadilishe ile jamii asee ni walima mihogo wazuri basi kuwe na kiwanda cha kuchakata mihogo na kusafirisha uarabuni soko lipo sn
Basi mkuu mpaka hapo nimeelewa uneo ambalo umefika na kuhisi umefika rifiji nzima...

Jitahidi kuvuka hilo daraja la mkapa usiliogope, uje ule nyama pori huku ukifurahia utajiri na maendeleo ya rufiji
 
Basi mkuu mpaka hapo nimeelewa uneo ambalo umefika na kuhisi umefika rifiji nzima...

Jitahidi kuvuka hilo daraja la mkapa usiliogope, uje ule nyama pori huku ukifurahia utajiri na maendeleo ya rufiji
Nashukuru mkuu lakini huku kwetu ndiyo kituvo cha utalii nyama pori siyo issue sn
 
Siku Tanzania tukiamka..watu kama hawa tunafanya kama Syria ni kuwanyonga mbele ya halaiki shenzi
Ebu amkeni kwenye majimbo yenu ya uchaguzi, sisi warufiji tulishaamka na maendeleo tuanayaona na kuyaishi

Kama maswala ya kitaifa basi pambaneni nae kama waziri ila kwa jimbo la rufiji sisi tulishaamka
 
Back
Top Bottom