Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Itakua jambo jema vilevileBora basi abadilishe ile jamii asee ni walima mihogo wazuri basi kuwe na kiwanda cha kuchakata mihogo na kusafirisha uarabuni soko lipo sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua jambo jema vilevileBora basi abadilishe ile jamii asee ni walima mihogo wazuri basi kuwe na kiwanda cha kuchakata mihogo na kusafirisha uarabuni soko lipo sn
Asiache vibarua kwenye mashamba ya kakao na migomba.Maisha yake kidogo sihaba
Basi mkuu mpaka hapo nimeelewa uneo ambalo umefika na kuhisi umefika rifiji nzima...Bora basi abadilishe ile jamii asee ni walima mihogo wazuri basi kuwe na kiwanda cha kuchakata mihogo na kusafirisha uarabuni soko lipo sn
Safi sanaBado kuna Bibi Titi Festival inaendelea kukiwasha.
OkeyItakua jambo jema vilevile
Tangu wajue neno festival hatulali kwa raha.Bado kuna Bibi Titi Festival inaendelea kukiwasha.
Yupo vizuri nowAsiache vibarua kwenye mashamba ya kakao na migomba.
Familia yake unaifahamu mkuu? Hacha uswahili kaka hahahahSiyo hata utamaduni ni ujinga tupu, mbona familia ya Mchengerwa hawachezi vigondoro wapo busy na kuiba mali za umma?
Tutakuja na marathon pia.Tangu wajue neno festival hatulali kwa raha.
Nashukuru mkuu lakini huku kwetu ndiyo kituvo cha utalii nyama pori siyo issue snBasi mkuu mpaka hapo nimeelewa uneo ambalo umefika na kuhisi umefika rifiji nzima...
Jitahidi kuvuka hilo daraja la mkapa usiliogope, uje ule nyama pori huku ukifurahia utajiri na maendeleo ya rufiji
🤣🤣🤣Hadi modem anaazima?Aungwe kwenye TASAF/watu wenye mahitaji maalumu ya ruzuku.
Sana siwapo bungeni na mke wake, bunge limegeuka la ukooFamilia yake unaifahamu mkuu? Hacha uswahili kaka hahahah
Mpo juu.Sasa,mlivyo na matege mtaweza kukimbia kweli?Tutakuja na marathon pia.
Ebu amkeni kwenye majimbo yenu ya uchaguzi, sisi warufiji tulishaamka na maendeleo tuanayaona na kuyaishiSiku Tanzania tukiamka..watu kama hawa tunafanya kama Syria ni kuwanyonga mbele ya halaiki shenzi
Ni balaa mkuu huku hadi wamama wenye watoto wadogo na wazee wote wanakesha kwenye mziki.Tangu wajue neno festival hatulali kwa raha
Kitovu cha utalii ni zanzibar mkuu, upo zanzibar?Nashukuru mkuu lakini huku kwetu ndiyo kituvo cha utalii nyama pori siyo issue sn
Kazi ipo kazini.Ni balaa mkuu huku hadi wamama wenye watoto wadogo na wazee wote wanakesha kwenye mziki.
Wana wanyama wamewatoa wapi? siku za maonyesho wanakuja kuchukua simba, chui na twinga Ngorogoro/Serengeti/Tarangire n.kKitovu cha utalii ni zanzibar mkuu, upo zanzibar?
Sawa mzee wa vigodoroEbu amkeni kwenye majimbo yenu ya uchaguzi, sisi warufiji tulishaamka na maendeleo tuanayaona na kuyaishi
Kama maswala ya kitaifa basi pambaneni nae kama waziri ila kwa jimbo la rufiji sisi tulishaamka