Cucciolo mia
Member
- Nov 1, 2022
- 75
- 138
Umeongea point Sana mkuuHalafu kuna atleast two types of cheating. Kuna cheating just for sex na mahusiano ya hivi hayadumu unakuta mwezi tu yameisha au ni one night stand na ni kwasababu mume hamuonyeshi upendo huyo mchepuko. Na kuna emotional cheating, mume anakuwa kweli anampenda huyo mchepuko, mahusiano yanakuwa ya muda mrefu miezi miaka, so lazima mume ataongelea ndugu zake, watoto hata mke, ndo mke wa pili anatokea hapa au official nyumba ndogo imepangishiwa au kujengewa kabisa na mtoto juu
Na mahusiano yatavunjika mkuu1. Tamaa zangu tu zimezidi
2. Nafuata tamaa zangu tu.
Ukimjibu hivyo, hatarudia kukuuliza tena maswali ya kiwaki kama hayo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unamuwekea asilimia ngapi uhakika wa kuolewa?Vijana wenyewe wa kiume wamekuwa wapenda dezo na kulelewa hawataki kuoa.Huoni kuwa kupata mimba before marriage soko la kuolewa ndo bas Tena mkuu??
Unawakazia vip mkuu?? Lazma utawajibu tu. Tafit zinaonesha kuwa wanaume wanaipenda Sana michepuko kuliko wake zao,maana weng wao wameoa si kwa kupenda,ko mchepuko akikuuliza huku kakupakulia mbususu nzur nzur Ni lazma umjibu maswali yakeSasa Kuna hao pasua kichwa wa kuuliza eti mi na mumeo Nani zaidi? watu wa hivi Ni kuwakazia au sio?
Vijana kutokuoa mnasababisha nyiny wanawake. Kwann nyiny mnawapa mbususu kabla hata hajatoa hata mahari?? ko ukishamwonjesha tu lazma atacompare Radha yake na kuona Kuna kasoro then anakula mitinUnamuwekea asilimia ngapi uhakika wa kuolewa?Vijana wenyewe wa kiume wamekuwa wapenda dezo na kulelewa hawataki kuoa.
Kuwa makini.Au avatar inakudanganya.Elewa maelezo.Vijana kutokuoa mnasababisha nyiny wanawake. Kwann nyiny mnawapa mbususu kabla hata hajatoa hata mahari?? ko ukishamwonjesha tu lazma atacompare Radha yake na kuona Kuna kasoro then anakula mitin
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.
Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:
Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.
Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?
• Namzidi nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakuridhisha Zaidi kimapenzi?
Kuhoji itakusaidia kumjua mtu wako yukoje,Ana akili gani,pia Ana uwezi gani wa kiuchumi nk,,Sasa Kama huulizi huoni kuwa unaweza ukadate na maagaidi mkuu,Cha kwanza kujua kwa mchepuko Ni mke wake au mme wake yukoje,then unajilinganisha na wew,hii itakusaidia hata kiusalama au kujiaminUkishajua kuhusu family ya mchepuko itakusaidia nini??
Mwanaume mpumbavu tu ndiye mwenye huo muda wa kukaa na mchepuko kuanza kuongelea family yake.
Mchepukaje asieulizia kuhusu mke au mme wa mchepuko wake huyo ni mjinga namba moja,Ukishajua kuhusu family ya mchepuko itakusaidia nini??
Mwanaume mpumbavu tu ndiye mwenye huo muda wa kukaa na mchepuko kuanza kuongelea family yake.
Unawakazia vip mkuu?? Lazma utawajibu tu. Tafit zinaonesha kuwa wanaume wanaipenda Sana michepuko kuliko wake zao,maana weng wao wameoa si kwa kupenda,ko mchepuko akikuuliza huku kakupakulia mbususu nzur nzur Ni lazma umjibu maswali yake
You must be lenient when it comes to this matter.Binafsi siwezi mkana mke wangu kuwa hafai.
Mimi nitasema nawapenda wote tu 😁
I think, it's depend, who kind of lady you deal with.You must be lenient when it comes to this matter.