Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

Jitahidi basi as repayment kwa goodsex anayokupa mfundishe maisha ya kujitegemea. Mfundishe polepole kimahaba angalau afunguke kidogo anatia huruma.

Anasema hana hata cha kupika nyumbani while kila siku anapata posho kazini. Ajifunze bajeti na akiba. Pia abadilike tabia yake hiyo [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Mwishoni umemaliza vzur Sana,
Changamoto ya mamaJ Ni tabia,
Tabia zake Ni za hovyo Hakuna mwanaume anaweza kuvumilia.
Mi mwnyw navumilia kwasababu sijapata mbadala wake,maana haiwezekani nagharamia afu nateseka namna hii.
 
That is the sign that you are starting loosing interest on her.

Penzi lenu limefikia ile stage ya stationary phase ( mnachukuliana kawaida tu/mazoea)
 
Kwahio we huna nyumba utakua unafanyaje ufuska na mawazo. Wanaume wote wenye michepuko ni wale wenye disposable income.

Alishafanya yale ya lazima sasa hela inakuwa nyingi haina kazi ndio tunaanzaga umalaya hapo.
Sijakuelewa unataka kusema wenye nyumba hawafanyi ufuska ni asilimia ngapi vijana wamejenga nyumba zao ?na walopanga mbona ni wengi tu
 
Mkuu ni kweli katika kila uzi wa mama J lazima nikulaumu kwa sababu hizi;

Sisi wanaume sisi ni viongozi lazima tuwaongoze wanawake kwa kuwaelekeza kilicho sahihi.

Tusiwatumie kwa faida yetu wenyewe na kuwaacha huku umemtumia miaka na miaka unamwacha akiwa skrepa.

TAtu...ni muda sasa ulishagundua huyo dada hamnazo lkn unang'ang'ania kipochi chake huku ukijua huyo ni hewa na huendi naye kokote.

Ushauri wangu kwako na kwetu wanaume ukiona ke umekaa naye na unajua fika hutamuoa hebu mpe nafasi apate mwenza for good.
Kaa naye mpe ukweli.

From there hata akilaumu hutakuwa na hatia.
Plz mwandae huyo binti kumwacha mdogo mdogo mpe hata mwaka lkn akijua ndio mnaachana hivi
 
Aloooo
4yrs!!
Ma J ako na miaka ngapi?

Niko nae mwaka wa 4 Sasa,
Ni nilichoamua Ni kwamba Kama asipojitambua na kujirekebisha Basi ataendelea kutumika mpk anazeeka na maendeleo nafanya na wife TU.
 
That is the sign that you are starting loosing interest on her.

Penzi lenu limefikia ile stage ya stationary phase ( mnachukuliana kawaida tu/mazoea) View attachment 2479749
Sio Kama namchukuoia POA,
Maana kauli zake za tuachane nmezizoea Sasa, yaan hauwez kupita mwezi hatujagombana.

Ni mahusiano flan ya vuta-nikuvute
Ndo maana kila mara naleta visa vya mamaJ humu wengine wanasema Ni chai.

Kiukweli ni mahusiano ya malumbano kila siku, ila kwasababu napata penzi yeye aendelee na sarakasi zake tuone Nani anapata hasara.

Na sahv anataka kuzaa Sana na mm,
Ila nafanya kusud kutozaa nae asije nisumbua zaidi mbelen kwa Kisingizio Cha mtoto.
 
Sijakuelewa unataka kusema wenye nyumba hawafanyi ufuska ni asilimia ngapi vijana wamejenga nyumba zao ?na walopanga mbona ni wengi tu
Waliokwisha stabilize kiuchumi ndio wanafanya ufuska zaidi. Ndio maana utakuta wanaume waliooa wengi ndio wana mahawara.
 
Niko nae mwaka wa 4 Sasa,
Ni nilichoamua Ni kwamba Kama asipojitambua na kujirekebisha Basi ataendelea kutumika mpk anazeeka na maendeleo nafanya na wife TU.
Bro kwa upendo tu nikwambie...
Anguko lako kimaendeleo laweza kuanzia kwa mama J.

How?
When?
Siwezi kusema lkn tunza hilo neno
 
Alizaliwa 95
Masikini mwaka kesho kutwa tuu anagonga 30 dah. Ila kwa umri wake wewe ndio ilibidi umsaidie atoke hapo alipo kimaisha.
Miaka ya 20's wanawake wengi kama hayupo ndoani au hana mtoto anakuwa anawaza bata tuu bila kushikwa mkono hutoboi.
 
unamwagaga nje ehh????kwaumri wake hawazi/tamani kuwa na mtoto
Nacheza na kalenda yake ya hedhi, yeye haijui vizur, safe dates nammwagia ndani.

Akiwa danger nafanya mpk namchosha haendelei Tena, Kisha naenda kumwaga kwa Mchepuko mwngn au kwa wife.

Tunaenda hivyo yaan,
Maana skuhz Hatakagi nimwagie nje, nikimwagia nje huwa analalamika sana anadai anataka mtt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…