evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hakuna kitu kama hiko nakukatalia , mahakamani hakuna mtoto wa ndani ya ndoa na wa nje ya ndoa .Hakuna cha kupotezea alikomaa kesi ilikaa miaka 5 na miezi ila watoto wa ndani ya ndoa tukashinda.
Hilo ulichukua jumba bovu kabisa.Hapo kwenye kutembea na mwanamke wa hovyo mkuu watu wengi hawatakuelewa ila yalishawahi kunikuta hayo ,
Niliwahi kuwa na mwanamke ana akili mbili na nusu hana wazo lolote la maana yeye muda wote anawaza shughuli na maharusi
Kutwa anaomba elfu tano tatu mwanamke gani huyo
Gubu vibaya mnoo na adabu hana kuna siku tupo lodge sikumbuki tulikosana nini ebwanaeee acha apayuke kwa sauti eti anataka anijazie watu chumbani duuh nikaona hapa hamna mtu.
Nitajiongelea mwenyewe, mimi sisaliti mdogo wangu.tulia wewe nyie hamsaliti?
Unajua mwenyewe na mungu wakoNitajiongelea mwenyewe, mimi sisaliti mdogo wangu.
Ndio maana imeniuma yani nimeona kama vile nimefanyiwa mimi.
SawaHakuna kitu kama hiko nakukatalia , mahakamani hakuna mtoto wa ndani ya ndoa na wa nje ya ndoa .
Unadanganya
Dada yupo sahihi. Huyo jamaa wakati anachepuka uwezo wa kufikiri kabla ya kutenda ulikuwa wapi?Kuna wakati mwanamke uwezo wake wa kufikiri kabla ya kutenda unakuwa mdogo !
Angesubiri msiba uisheDu nimejikuta nacheka. Mbona wanawake wengi wa Tanzania ndiyo wanavyoongea wanapohojiwa na hizi TV za mtaani? Na mdomo kama wanaukunja dizaini fulani hivi. Ni kama fashion hivi. Huyu mnamuonea bure tu. Mlitaka afanye siri wakati ana mtoto naye?
Huo ndo muda mzuri sasa, baadae watu wangemkana 😹Bad timing angesubiri wambea wameondoka
ungojevu ni muhimu,,ishu sio kufanya siri,angewafata ndugu baadae na huo utambulisho,,afu kwa mwanaume kuzaa nje ni kawaida sana saivi,hata mimi mwanaume wangu sitamzuia,,ila bi mdashi asiwe na papara.Du nimejikuta nacheka. Mbona wanawake wengi wa Tanzania ndiyo wanavyoongea wanapohojiwa na hizi TV za mtaani? Na mdomo kama wanaukunja dizaini fulani hivi. Ni kama fashion hivi. Huyu mnamuonea bure tu. Mlitaka afanye siri wakati ana mtoto naye?
Nyie mtamsaidia kaburi la babake si lipoAkitulia utamsaidia kulea huyo mtoto?
kuna mmoja mhudumu aliongeza elfu 5, badala ya 20 akasema 25, demu aliwaka, we mhudumu hiki chumba huwa elfu 20 acha wiziHilo ulichukua jumba bovu kabisa.
Kuna mmoja nilikutana nae barabarani nikasema demu si ndio huyu.
Tulichat siku mbili tatu ikafika kwenda kufahamiana zaidi. Kufika lodge mhudumu aliposema bei ya chumba elfu 50, demu aling'aka kama analipa yeye. Akaanza kusema si bora tungeenda lodge za elfu 10 halafu hiyo 40 unipe mimi.
Yani pale pale nilimshusha thamani. Sio sababu ya kutaka kuwa mchumi bali jinsi alivyopayuka mpaka wote kuoneka kituko.
Kuna hao na kuna mapadri aroooo wanaume wakimya wacha Mungu wasiokunywa pombe wanapenda k kama chakulaHawa wasabato wa kiume wengi wao ni wazinzi balaa. ( Sijajua kuhusu wa kike)
Wanazingatia mnoo Ile siku ya jumamosi tu. Ila ikipita ni kama koki ya maji imefunguliwa. Uzinzi mwanzo mwisho.
Mungu awasaidie aisee.
Mnapenda kula kula sana hadi mnafanya wajane walie mara 2Msabato nimekuja, unasemaje?