''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Hapo kwenye kutembea na mwanamke wa hovyo mkuu watu wengi hawatakuelewa ila yalishawahi kunikuta hayo ,
Niliwahi kuwa na mwanamke ana akili mbili na nusu hana wazo lolote la maana yeye muda wote anawaza shughuli na maharusi
Kutwa anaomba elfu tano tatu mwanamke gani huyo

Gubu vibaya mnoo na adabu hana kuna siku tupo lodge sikumbuki tulikosana nini ebwanaeee acha apayuke kwa sauti eti anataka anijazie watu chumbani duuh nikaona hapa hamna mtu.
Hilo ulichukua jumba bovu kabisa.

Kuna mmoja nilikutana nae barabarani nikasema demu si ndio huyu.

Tulichat siku mbili tatu ikafika kwenda kufahamiana zaidi. Kufika lodge mhudumu aliposema bei ya chumba elfu 50, demu aling'aka kama analipa yeye. Akaanza kusema si bora tungeenda lodge za elfu 10 halafu hiyo 40 unipe mimi.

Yani pale pale nilimshusha thamani. Sio sababu ya kutaka kuwa mchumi bali jinsi alivyopayuka mpaka wote kuoneka kituko.
 
Du nimejikuta nacheka. Mbona wanawake wengi wa Tanzania ndiyo wanavyoongea wanapohojiwa na hizi TV za mtaani? Na mdomo kama wanaukunja dizaini fulani hivi. Ni kama fashion hivi. Huyu mnamuonea bure tu. Mlitaka afanye siri wakati ana mtoto naye?
Angesubiri msiba uishe
 
ungojevu ni muhimu,,ishu sio kufanya siri,angewafata ndugu baadae na huo utambulisho,,afu kwa mwanaume kuzaa nje ni kawaida sana saivi,hata mimi mwanaume wangu sitamzuia,,ila bi mdashi asiwe na papara.
 
Hilo ulichukua jumba bovu kabisa.

Kuna mmoja nilikutana nae barabarani nikasema demu si ndio huyu.

Tulichat siku mbili tatu ikafika kwenda kufahamiana zaidi. Kufika lodge mhudumu aliposema bei ya chumba elfu 50, demu aling'aka kama analipa yeye. Akaanza kusema si bora tungeenda lodge za elfu 10 halafu hiyo 40 unipe mimi.

Yani pale pale nilimshusha thamani. Sio sababu ya kutaka kuwa mchumi bali jinsi alivyopayuka mpaka wote kuoneka kituko.
kuna mmoja mhudumu aliongeza elfu 5, badala ya 20 akasema 25, demu aliwaka, we mhudumu hiki chumba huwa elfu 20 acha wizi
 
Hawa wasabato wa kiume wengi wao ni wazinzi balaa. ( Sijajua kuhusu wa kike)

Wanazingatia mnoo Ile siku ya jumamosi tu. Ila ikipita ni kama koki ya maji imefunguliwa. Uzinzi mwanzo mwisho.

Mungu awasaidie aisee.
Kuna hao na kuna mapadri aroooo wanaume wakimya wacha Mungu wasiokunywa pombe wanapenda k kama chakula
 
Back
Top Bottom