Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

Jamaa kamuhamishia mkoa wa mbali, na plan nifanye namna niandae mazingira niende huko hata nikanunue kiwanja nianze ujenzi
Oooh LordπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Na hizi mvua analombwa kila siku kavukavu
 
Smart911 lo kama nakuona venye ukuachwa na mchep unavyochanganyikiwaaa😁😁!


Pole sana mchepuko anauma asikwambie mtu hasa akiwa anajali 😁😁
 
Na wewe tafuta mume akuoe kama unamuonea wivu
 
Yaani atafute mchepuko wa kuziba pengo la mchepuko.
Nyie jamaa aliyewaroga kafa.
 
Duh si umuoe
 
Yaani atafute mchepuko wa kuziba pengo la mchepuko.
Nyie jamaa aliyewaroga kafa.
Sababu zake za kutafuta mchepuko unazijua?
Au ndiyo unafiki wa Jf, kila mtu kaokoka na ni mwana maadili?
 
Na anayemla mkeo pia yupo huko analaani kwanini huondoki hapo home ili apate nafasi ya kumla mkeo,naye kamiksi hivyo hivyo ulivyomiksi wewe
 
Pole sana ndo ukubwa ,tunajua maumivu unayopitia utapata mwingine michepuko ipo focus na wife.
 
Hamia CHAPUTA
 
Wewe unastahili kupigwa vibao akili zikukae SawaπŸ˜‚
Umekuwa mjinga kupita maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…