Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

Mimi nayaona yashaanza kutimia kwa Tz bado,ila kupitia documentary niliyo iona NatGeo wakizingumzia umafia unaofanywa na Waghana kwenye online dating na ni swala la muda kufika huku Tz.
 
Mimi nayaona yashaanza kutimia kwa Tz bado,ila kupitia documentary niliyo iona NatGeo wakizingumzia umafia unaofanywa na Waghana kwenye online dating na ni swala la muda kufika huku Tz.
Inabidi nifanye tafiti zaidi. Naomba unitumie links za hizo documentaries hata inbox nikajifunze mambo.
Miaka kadhaa nyuma niliangalia documentary ya 'soko la ndoa la China'. Wao walikuwa na tatizo tofauti, kwamba kwa kila wanawake 10 China, kuna wanaume 14 hivyo kupata mwanamke wa kuoa China ikaja kuwa biashara ngumu.

Kwenye town square kuna kamba kama za kuanikia nguo vimening'inia maelfu ya vikaratasi ambavyo ni CV za vijana wa kiume. Kijana anaeleza umri wake, kazi yake, mshahara, nk. Wadada na wazazi wa mabiti wanapita na kuvianua na kusoma hizo CV, wakiona ya kijana anayewafaa wanampigia simu na mipango inawekwa. Wanaume wenye hali chini ya kawaida/duni wakapata shida sana. Hali hii ikatengeneza mpaka biashara haramu ila inayolipa inayosababisha mpaka kutekwa kwa wanawake wa Vietnam na Laos ili wakaozeshwe China.

Je tunaweza kusema bado ni suala simple tu la "supply and demand"? Wanaume wakipungua kwenye jamii, wanawake wanasota kupata waume, na vile vile wanawake wakipungua, wanaume wanasota kupata wake.
 
Hiki kipindi kilikuwa kinarushwa na NatGeo na hakipo Youtube. Documentary hizi zina andaliwa na Mariana mara nyingi wana cover matukio ya hatari kama usafirishaji haram wa watu,utengenezaji wa dola bandia, uuzaji na usafirishaji wa dawa za kulevya,prostitution nk.
 
Thanks. Kinaitwaje. Labda kuna wajanja wa kuvisaka vipindi kama hivyo kwenye ma torrents..
 
Thanks. Kinaitwaje. Labda kuna wajanja wa kuvisaka vipindi kama hivyo kwenye ma torrents..
Trafficked jina la kipindi ila hiyo episode nahisi inaitwa online dating kama sikosei.
 
Trafficked jina la kipindi ila hiyo episode nahisi inaitwa online dating kama sikosei.
Suala la trafficking nalo linasikitisha sana. Kama miaka 10 iliyopita nilisoma kutabu cha historia ya trafficking cha zamani sana mpaka title sikumbuki (the stolen ones, au the taken ones, something along those lines ila nimekitafuta online sijawai kukipata). Kilikuwa kinahusu system ya sex trafficking ya France na England karne ya 19 huko, sijui 1860s hivi, na ukisoma unaona mambo ya wakati huo hayana tofauti sana na ya wakati huu.
 
Mimi sijapanic ila nakuonea huruma unavyo zihirisha ujinga wako. Eti mahali ni fidia.....khaaa halafu ww ndio mzazi wa kesho...........

Sehemu gani nilipo kubaliana na ww.............. umesoma msingi wa comment yangu niliyo kuwekea quotation mara kwanza kabisa au hauku ielewa kuhusiana na kutumia akili na utashi........

Endelea kukaa na ujinga wako,unaruka ruka kama bisi,unazungumzia mifano siyo na uhalisia ,ishi kwenye uhalisia na ijue asili yako.

Nimekuuliza kuhusiana na wahindi mbona huku nijibu,yaani hoja unaanzisha mwenyewe ukiulizwa kupitia hizo hoja unaruka enaenda sehemu nyingine,huji elewi ww.

Swali lako la kipuuzi na kufikirika....
"nakuuliza tena kwahiyo na familia ya mke nayo ikianza kutoa mahari mko tayari watoto watumie majina ya koo zote mbili wa baba na wa mama, shida nini mbona hujibu maswali yangu unaishia kupinga kwa mihemko bila kutumia logic hadi napata mashaka na ulewa wako"

Nikaligeuza kenye reality ila hukunijibu,nikisema ni anze kuhesabu maswali niliyo kuuliza hamna hata moja ulio jibu.
"Wanawake waanze kutoa mahali kwa mujibu wa nani?Toka ktk hizo ndoto zenu za uwana harakati hazito kusaidia maana utakuwa unashindana na nature.(Zungumzia reality na nature ya uumbaji ya jinsia ya kike na ya kiume).Hivi India mahali wanatoa wanawake je mtoto anatumia majina ya koo zote mbili,MBONA WE KIAZI UNATAKA KUSHINDANA HADI NA REALITY."
Hapo ndipo utakapojua mfumo dume haukwepeki.

Hebu nitafutie sehemu nilisema ndoa sio muhimu kwa mwanaume.......?

Yaani najuta kupoteza mda wangu kureply comments zako,naweza kusema sijawahi kukutana na mwanamke limbukeni kama ww ktk JF,ukimbukeni ukiuendekeza sana utaonekana mjinga.
 
Maana nikupa mfano wa wahindi unarukaruka haya kwa kitumia maneno yao hapa ulimaanisha nini.
"nakuuliza tena kwahiyo na familia ya mke nayo ikianza kutoa mahari mko tayari watoto watumie majina ya koo zote mbili wa baba na wa mama, shida nini mbona hujibu maswali yangu unaishia kupinga kwa mihemko bila kutumia logic hadi napata mashaka na ulewa wako"

Hata lengo la mahali hulijui,yaani wewe mweupe kishenzi. Watu huunganisha undugu na familia kupitia mahali na familia ya mke huandaa kasherehe kadogo kuonyesha ila shukrani kwa kuwaheshismisha kupitia binti yao na huku upande wa wanaume wakitoa shukrani kuwa wazazi kwa kumtunza/kumlea vyema binti yao.

sasa watu wenye nia njema ya kuunganisha undugu wanaandaa mpaka sherehe tokea lini wakadaiana fidia.

Basi katafute hata maana ya neno fidia kwenye kamusi (Najua hapo utabishana napo).

Hujibu maswali sababu huna unacho kijua kazi yako kupayuka, ila wewe ni weupe kishenzi kwenye maswala ya kijamii na ndoa.

Nimekuuliza sehemu gani nimesema ndoa sio muhimu......? Bado unarukaruka,nipo makini kwa kila hoja niliyo iandika.
 
Yaani ww mweupe ni shindwe kujibu hoja zako, endelea kukaa na ujinga wako,ambao kwa ulimbukeni wako ndio unauona usasa.

Unaongea vitu vya kufikirika kutoka kuchwani mwako unazani unaikimbia reality.....mara Mfano hivi.......Mfano vile......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…