Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

15 years mkuu

Unawajua mabinti wa 15 years ??...

Hako si kapo form 2 or 3

Kwa hiyo unadhani mtu akishajua kusex tu yupo tayari kwa ndoa

Kumtwika binti wa miaka 15 au 16 jukumu la kuwa mke na mama wa familia haswa kwa karne hii ni kumuonea. Kwanza kwa umri huo labda awe vizuri kimwili la sivyo, anakuwa kwenye ule umri rahisi wa kupata matatizo ya uzazi
Angalau miaka 20.
Huu mfumo wa shule ni upuuzi tu mtoto mpaka Miaka 24 yupo chuo tunakuja kuoa makapi
 
Halafu vitu vingine vya ajabu, ameolewa na miaka 18 mnashangaa, hata akiwa na 16 kaishabalehe ana mahitaji ya kimwili ruksa, yaani binti wa miaka 18 kuolewa sio sawa, ila kutom..bwa, kuziniwa sio suala, abebe mimba azae na arudi shuleni, yani ni ruksa tu binti kutafunwa ila sio kuolewa.
πŸ˜‚πŸ€£

Upande wa pili japo sina uhakika kama ni wote😁 mpaka waishi kama kimada, wapate mtoto kisha pingu la maisha linafuata au ndio imetoka hiyoo 😁
 
Ubaya sheria za kwao zinaruhusu kumuoa bintibwa miaka 16.. Halafu uchumba sio kugegedana, japo kwa dunia ya sasa ni ngumu, ika kuna watu wapo uchumba hawagegedani, hiyo kuonana tu mbinde.
Tatizo wazungu Wana Hila nyie,,,unaweza Kuta Sheria za kwao zinaruhusu ila watasema anafungiwa kucheza kwenye league za ulaya
 
Back
Top Bottom