Utamaduni wa kizungu ni wa kijinga,Binti miaka 14 kuolewa ni mapenzi kwa watoto ila,kugongwa akiwa shule,kutoa mimba ili asome,hio ni sawaHalafu vitu vingine vya ajabu, ameolewa na miaka 18 mnashangaa, hata akiwa na 16 kaishabalehe ana mahitaji ya kimwili ruksa, yaani binti wa miaka 18 kuolewa sio sawa, ila kutom..bwa, kuziniwa sio suala, abebe mimba azae na arudi shuleni, yani ni ruksa tu binti kutafunwa ila sio kuolewa.
😂🤣