Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

Angalau miaka 20.
Huu mfumo wa shule ni upuuzi tu mtoto mpaka Miaka 24 yupo chuo tunakuja kuoa makapi
 

Upande wa pili japo sina uhakika kama ni wote😁 mpaka waishi kama kimada, wapate mtoto kisha pingu la maisha linafuata au ndio imetoka hiyoo 😁
 
Ubaya sheria za kwao zinaruhusu kumuoa bintibwa miaka 16.. Halafu uchumba sio kugegedana, japo kwa dunia ya sasa ni ngumu, ika kuna watu wapo uchumba hawagegedani, hiyo kuonana tu mbinde.
Tatizo wazungu Wana Hila nyie,,,unaweza Kuta Sheria za kwao zinaruhusu ila watasema anafungiwa kucheza kwenye league za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…