KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Aliyekushauri kakushauri vibaya sana kulileta huku.Kwa kuwa umesema nyinyi ni marafiki wa kifamilia,rudi nyuma mtatue kifamilia.Hii ni aibu tu.Vyeti vyako kama unavyo we pambana navyo.Tukiwa chuo hapo Dodoma kuna siku nilikatisha makaburini kule kizota,tukaona kaburi lina jina la Rafiki yetu mmoja,jina full majina matatu.Tukamshtua tukacheka basi yakaisha.Majina duniani kufanana ni kawaida.Asingekuwa maarufu hapo Kariakoo wala usingejali.Hoja ni kuacha kutumia jina ama kukutoa chochote kitu?
Hasa ya waislamu ndio hufanana kwa sie wakristo sio rahisi yani ni 0.1% hasa wale wenye majina yote ya kigeni.

Ila kwa Duchu kuna jina la kiasili la ukoo KAMETA ni ngumu sana, kina David Godfrey wapo kibao sio kina David G. KAMETA
 
Wewe nae hujitambui,sheria gani inaruhusu kutumia vyeti vya mwenzako
Hakuna kesi hapo?
Duchu ni professional football player
Na hyo mwengine ni nani?huenda ni fundi viatu ,,hilo jina hata akipewa litamsaidieaje?


Hata kameta akipokonywa hilo jina na kutumia jina lake halisi,,bado ataendelea kuwa Simba...
Na huyo mwenye jina halisi ataendelea na kazi zake za viatu..

Hapo ni mr really name kameta trying to become mr fake kameta.
Hakuna kesi yeyote hapo kwenye mpira..
 
Mchizi anasema ye ndo wa 94 duchu alimtangulia shule 😁😁😁 lahawala wala kuwata..
Means apo duchu hamna hamna 92..
Sasa uyo kinda hao kina kapombe ujue tunaweza kua na wat Wana amsini mule wanaubonda 😁

Nimechekaa hadi sio poa, Duchu hakosi 35 above. Woiiiih 😂😂😂😂
 
Ninaamini hakuna ulichokosa kutokana na hilo jina kutumika na jamaa yako, ila umeamua kuonesha roho ya korosho uliyonayo na wivu kwa jamaa

Uzuri wa kuwa na hiyo roho mafanikio utayaskia kwa wenzio wewe utabaki kulalamika mpaka uzeeke
Lazima kulikuwa na makubaliano ndiyo yamekiukwa hapa halafu mtu analeta nyodo.

Wabongo wanajulikana wakiwa na shida ni waungwana,kosa asaidike ndiyo rangi halisi inaonekana.
 
Kuna kitu cha msingi watu wanaruka kwenye kusoma. Duchu mpaka sasa ana kesi mbili, mosi identity theft pili alipigwa ban ye akatumia njia ya panya kuilift

Uko sahihi, ndio mie nilichokiona hapa, na sakata hili litaanzia kule kwenye team ambayo alipigwa nayo Ban, duchu hachomoi hii case.
Duuuh.
 
Back
Top Bottom