MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ila huyu Duchu ana manzi mkali laana. Halafu naona msimu huu kaanza vizuriUko sahihi, ndio mie nilichokiona hapa, na sakata hili litaanzia kule kwenye team ambayo alipigwa nayo Ban, duchu hachomoi hii case.
Duuuh.
Unamnanga huyu jamaa bila kuona mchango wake katika kumsaidia duchu.Ninaamini hakuna ulichokosa kutokana na hilo jina kutumika na jamaa yako, ila umeamua kuonesha roho ya korosho uliyonayo na wivu kwa jamaa
Uzuri wa kuwa na hiyo roho mafanikio utayaskia kwa wenzio wewe utabaki kulalamika mpaka uzeeke
Duchu kitamlamba zaidiHuyu hana tofauti na wale wacheza upatu wanaolalamika mtandaoni bila kujua kisheria nao wana makosa.
Duchu ameshindwa kurudisha fadhila.Huyu hana tofauti na wale wacheza upatu wanaolalamika mtandaoni bila kujua kisheria nao wana makosa.
Ni kawaida kwenye michezo. Mwanariadha au mcheza mpira akikutajia umri wake ongeza 7 ili kupata umri halisi.Ila kwanini Duchu atudanganye? kuwa kazaliwa 2001 wakati ni kijana wa 1994?
Akipeleka hiyo kesi watafatilia mpaka NIDA za wazazi msichukulie mambo rahisi rahisi wajombaKwa maelezo yake kuna David wa 1994, na David wa 2001 ni watu wawili tofauti. Labda kama anataka kumchafua mwana! Tufanye ni kweli, yeye anathirika vipi na majina kufanana? Ingemake sense kama wangekua mapacha
Na wakifatilia NIDA za wazazi wao wote wawili huoni majina yatatofautianaWewe ni David Frank Kameta uliyezaliwa Mbeya 1994 Muuza Parachichi.
Na Huyo rafiki yako ni David Frank Kameta (DUCHU), Footbaler aliyezaliwa 2001
Watu wawili tofauti.
Mifumo inawatambua hivo japo kuna huo udanganyifu.
Muwe mnasoma Kwa kuelewaKitu kingine kilichochochea wewe kutaka kurudishiwa jina lako ni kumuona mwenzako yupo Simba.
Angekua hana kazi ya kueleweka hata usingejisumbua kudai jina lako.
Hakuna kesi ya kwenda polisi hapa labda kama umejiandaa na wewe kupoteza.
Upo sahihi kukubaliona hakuondoi uhalali Wa kosa na wakitrace NIDA za wazazi wao wote wawili duchu atakutwa na hatiaKukubaliana hakuondoi identity theft.
Hutakiwi kukubaliana na mtu atumie jina lako.
Hata mkikubaliana wote mmefanya fraud hapo katika kesi ya identity theft.
Yani hiyo identity si mali yako kwamba unaweza kumuazima mtu kama suruali.
Hapo kuna kosa la jinai limetendeka. Kumpa mtu hizo documents atumie kama zake wakati si zake ni kesi kwa wote wawili.
Umeelewa?
Tunayatumia hadi leo na ndio tupo kwenye nafasi ambazo tusingezipataMlivyonunua baadaye ikawaje?
Si Duchu tu, kama taarifa ni za kweli, hata mwenye jina lake aliyekubali litumiwe habaki salama hapo.Upo sahihi kukubaliona hakuondoi uhalali Wa kosa na wakitrace NIDA za wazazi wao wote wawili duchu atakutwa na hatia
Ukisoma vizuri itakuwa waliahidiana posho jamaa hakutoa posho.Unapata athari zipi mtu mwingine kutumia jina lako?
Mpaka umepata TIN maana yake NIDA unayo na inakubalika. Umekosa kazi kisa jina lako linafanana na la mtu mwingine?
Umekosa hati ya kusafiria?
Umeshtakiwa kwa kosa la huyo mchezaji bila wewe kulifanya?
Kipi unaathirika nacho hasa.
Gen Z wanasema "Tatizo ni MAOKOTO"Changamoto hapa ni malipo
Fundi viatu kajazwa upepo na ndugu zake wanamjia juu kauza jina anasemaShida gn atapata duchu?,
Hao ni watu wawili tofauti.
Huyo kameta duchu ni mcheza soka timu ya simba.
Na huyo kameta mwingine ni fundi viatu..
Hapo shida sio majina bali ni professional je zinafanana au tofauti?
Mpira unatambuwa kipaji cha mtu na sio jina lake,Fundi viatu kajazwa upepo na ndugu zake wanamjia juu kauza jina anasema
Sheria ipi inakuruhusu kumpa mtu jina lako kisha baadae akurudishie? Huoni kuwa wewe ni sehemu ya udanganyifu?
Unaumia kwa sababu mhusika anapata pesa ndefu. Pole lakini
ahHii Haina. Come back it means na yeye ni muhalifu aliidanganya gavoo KwaMzee Haina comeback it means na yeye ni muhalifu ametumika kutudanganya mfumoSheria ipi inakuruhusu kumpa mtu jina lako kisha baadae akurudishie? Huoni kuwa wewe ni sehemu ya udanganyifu?
Unaumia kwa sababu mhusika anapata pesa ndefu. Pole lakini
Mshikaji kapata pesa kawa na madharau πππDah! Umeamua kumvua nguo mshkaji wako hadharani kabisa, kwanza kukuibia jina, pili kudanganya na umri, ngoja tuone itaishiaje hii