Mchezaji wa Simba hawezi kula bata kila siku na wachezaji wa Yanga akabaki salama

kwa yanga hii iliyopunguza makali nitajie ni wachezaji wangapi wa Simba wanaingia kikosi cha kwanza cha yanga?
Mimi nimeshakwambia hauna hoja wewee, bado unabwatuka tu. Wenzio wameshajifunza, wanaongea kwa kiasi. Wachezaji wa Simba mlisema hakuna hata mmoja anaweza kuanza kikosi cha kwanza cha utopolo na kina Chama, Baleke, Mkude mliwaita wazee, leo mnalilia hao hao waanze kuokoa jahazi maana mnawakataa kina Aziz Ki, Dube na Aucho
 
Ahoua ametoka kule kule walipotoka kina Aziz Ki na Pacome na ametoka na profile ile ile waliyokuja nayo hao wengine. Ninachosema kimethibitishwa na wengine, wewe ndiyo unaleta hoja za hovyo ambazo hata uto wenzio hawawezi kukuunga mkono
 
Wewe ndio auna hoja mwanaume unakuwa na ndimi mbilimbili na mambo ya kusingizia watu vitu vya ovyo ovyo,,kwamba misimu 3 mliyokosa ubingwa wachezaji wenu walikuwa na ukaribu na wachezaji wa yanga? Mmepigwa mara 4 mfululizo pia ahou alikuwepo kwenye vipigo 3 vilivyopita? Nisingekujibu but kwakuwa umewataja wachezaji wa yanga ndio maana nakujibu maana unapotosha watu na wajinga wajinga ndio watakusapoti juu ya iyo point yako!
 
Mimi na wewe nadhani tumemalizana maana ni wazi nazungumza na mwehu
 
Kaka Mavambo mwenyewe hana jipya..Simshangai Fadlu kumuweka benchi.

Ni mchezaji mzuri,ila uwepo wake uwanjani hauna impact kubwa.Angalia pasi zake ;za hapa na hapa,kurudisha nyuma na square.

Haisaidii timu kwenda mbele kabisa.

Simba ina shida namba 7,8,10 na 11.
 
Ahoua ametoka kule kule walipotoka kina Aziz Ki na Pacome na ametoka na profile ile ile waliyokuja nayo hao wengine. Ninachosema kimethibitishwa na wengine, wewe ndiyo unaleta hoja za hovyo ambazo hata uto wenzio hawawezi kukuunga mkono
Kwamba kama ametoka nao uko ndio wamemfanya awe na kiwango kibovu? Ni lini uyo ahou wenu amekuwa na kiwango Bora tokea ameingia nchini ebu tuambie? Au kina Aziz ki tokea anashuka pale walienda kumpokea airport wakaanza kumfundisha starehe?
 
Mimi na wewe nadhani tumemalizana maana ni wazi nazungumza na mwehu
Usiniite mwehu nadhani ujiheshimu kama ni matusi basi hapa umefika,,hoja ujibiwa kwa hoja acha kupotosha watu kwa vijimaneno vya kijingajinga usidhani Kila Mmoja hapa ni mbumbumbu,,zungumzia ubovu wa wachezaji wako sio kuwahusisha wengine kwenye blunders zenu za usajili!
 
Kuwa mwehu siyo tusi ni sifa inayoendana na uhalisia wako. Kwa msaada zaidi fika ofisi za TUKI, TATAKI au BAKITA.
 
Huyu dogo Ahoua anataka kuturudisha Simba kwenye majonzi wakati tumeshatoka huko. Kama haya nibkweli apigwe pin mapema
 
Kuwa mwehu siyo tusi ni sifa inayoendana na uhalisia wako. Kwa msaada zaidi fika ofisi za TUKI, TATAKI au BAKITA.
Basi sifa iyo unayo wewe kwanza kwakuwa unachokielezea akina mantiki Wala ushahidi umeamua kukaa na kuropoka tu kishabiki na kimihemko kuleta uchochezi wa kipuuzi!
 
Basi sifa iyo unayo wewe kwanza kwakuwa unachokielezea akina mantiki Wala ushahidi umeamua kukaa na kuropoka tu kishabiki na kimihemko kuleta uchochezi wa kipuuzi!
Umeumia zaidi ya mashabiki wa Simba, hiyo inafikirisha sana. Nadhani tumalizane ili wasio wehu nao watoe maoni yao. Nashukuru kwa mchango wako.
 
Yaani Mimi ningelikuwa na uwezo wa kufanya maamuzi, watu kama ninyi ningeliwapa kazi ya kutekeleza hayo mnayoshauri halafu mkishindwa NAWATANDIKA BAKORA katikati ya Uwanja wa Mkapa huku wazazi wako, mkeo,watoto wako, wakwilima wako, marafiki zako na majirani zako wakiwa wanashuhudia kama wageni rasmi! KUMBAVU!!
 
Umeumia zaidi ya mashabiki wa Simba, hiyo inafikirisha sana. Nadhani tumalizane ili wasio wehu nao watoe maoni yao. Nashukuru kwa mchango wako.
Mimi nimezungumzia upande wa wachezaji wa yanga uliowatuhumu kutokana garasa lenu kutokuwa na ubora,,mambo ya Simba yananihusu nini? Kusajili garasa msajili wenyewe alafu lawama muwatupie wengine mmelogwa au?
 
Mimi nimezungumzia upande wa wachezaji wa yanga uliowatuhumu kutokana garasa lenu kutokuwa na ubora,,mambo ya Simba yananihusu nini? Kusajili garasa msajili wenyewe alafu lawama muwatupie wengine mmelogwa au?
Kwani huwa unakuwepo? maana unahasira isivyo kifani... Mbona mlimtuhumu mobeto kuwaharibia Zizi....kwa sasa kawa garasa kuliko joker....hahahaaaa
 
Hamna cha kututambia nyie walamba makombo wa Simba...kutokupata kombe au kuangukia kwny kombe la shirikisho ni mchezo tuu..kupata kwenu ubingwa kuna sbb nyingi ikiwemo kununua mechi..kudhamini vilabu lukuki ili mjipatie points..kujidunga misindano ili kuongeza nguvu na kwa ss majibu tumeyapata baada ya kushtukiwa mmeligea kama milenda...halafu unajitapa na nini sasa miaka 4 ilopita tulichukua makombe na kushiriki club bingwa huku nyie mkiyasikia kwny bomba kuishia kwny preliminary kwa miaka 19 mmedoda..nyie mmeanza kujulikana kwny ramani ya africa kupitia hilo kombe la loser...mmelitolea mijasho debe...kuhusu kikosi cha kwanza waulize hao viongozi wako wanasubiria Simba wawateme muwachukue...
Kuhusu kutufunga sisi ni uchawi hakuna kingine mmekua mkipita milango isiyo rasmi kisa kucheza na sisi..
Mmeona majibu yenu mlipobamizwa na Azam...Tabora...n.k kwa sbb huwa hamuwagwai kama mnavyowagwaya simba mpka mnatafuta mbinu mbadala...
 
Nimekudharau kwa hoja zako mfu,,kwaiyo uwa mnafungwa na uchawi sio ubora? Kama uwa mnanunuliwa ili kuuza mechi basi inaonyesha ni kwa kiasi Gani amna viongozi Wala timu!! Kama yanga anawanunua kuanzia mhindi wenu mpaka mashabiki iyo ni hatari,,na wamewapiga mechi 4 mfululizo bado mmerizika tu kuendelea kuuza mechi zenu iyo si ni hatari!!
Kombe la looser ulishindwa ata kuvuka robo fainali ukaishia kuchoma moto uwanja wa watu,,Yani unapeleka ushirikina mpaka kwenye nchi za watu na bado ukatwangwa na kutupwa nje ya michuano,,kama unao ubavu na unaiamini timu yako fika fainali tuone waliyofika wenzako!
 
Class ya wachezaji wa yanga uwezi kulinganisha na wachezaji wa Simba ata siku Moja,,kushuka kwa viwango vyao akuondoi class waliyonayo ulijue hilo,,nitajie wachezaji wenu ata watano Wenye class kama wachezaji wa yanga!
Timu yenu ingekuwa na class ya juu mngehangaika na rejects wa Simba na Singida?nyie ndio mlisema hamhitaji Kagoma sasa hivi mnahangaika kuwachukua Kevin Nashon na Israel Mwenda kwa mkopo ambao hawana namba Singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…