ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Haya mambo yana complications as long as ana jinsia ya kike basi iachwe hivyoHapana nimejaribu kum-google hapa nimeona baadhi ya story yake kuhusiana na mwonekano wake.
Ulikuwa unataka kusema nini?
mwamba ana base kuliko auchoHapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo.
View attachment 3276161
Hapa nilijua ni Drogber
View attachment 3276163
Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
View attachment 3276164
Hata clara luvanga naye ilikuwa kama huyu tu,hayo ndio maajabu ya Mola wetuHapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo.
View attachment 3276161
Hapa nilijua ni Drogber
View attachment 3276163
Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
View attachment 3276164
kwani wewe huwa unajuaje kuwa fulani ni tomboyWachezaji wa kike wa Tanzania waache kua Matomboy wanakera sana tunatamani kuona warembo wakicheza mpira nadhani ingeongeza hamasa kwa watu kufatilia mpira wao,
Nimemuona Aisha Masaka alipokua Yanga alikua tomboy baada ya kusajiliwa ughaibuni amekua pisi kali yenye kuvutia, kuna katoto kengine Victoria Masele kapo Marekani kasweet na ball alisakata ipasavyo
Google maana ya Tomboykwani wewe huwa unajuaje kuwa fulani ni tomboy
Hizo ni chuki na ushabiki usio na maanaYanga Princess wenye sura za kike hawazidi wanne,wengine wote ni madume
Ukaoni kalivyokua kabishi πKumbe ni mfupi eeeh?
Aje nimpunguzie urefu kidogo. ππ
Halafu akishaingia Kingi basi anaanza kuleta migazeeti mirefu weee ambayo hata hayahusiani. ππUkaoni kalivyokua kabishi π
Watu wafupi ni wajuaji na wabishi mnk πHalafu akishaingia Kingi basi anaanza kuleta migazeeti mirefu weee ambayo hata hayahusiani. ππ
πππWatu wafupi ni wajuaji na wabishi mnk π
Hatari swahiba πππππ