Timu ni muunganiko, mmoja akikosekana kuna kitu kinapungua kwa timu nzima, Pacome hufungua makufuli na Musonda anaingia ndani, kukosekana Pacome was a big mistake maana ndie huanzisha mashambulizi toka katikati , ngoja kwenye derby utamfahamu vizuri Pacome ana kazi gani uwanjani, naona penati mbili za Yanga kwenye derby, tena kipindi cha kwanza Yanga 3 kolo 0 na mbio zenu za ubingwa zitaishia hapo 8/3