Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

Timu ni muunganiko, mmoja akikosekana kuna kitu kinapungua kwa timu nzima, Pacome hufungua makufuli na Musonda anaingia ndani, kukosekana Pacome was a big mistake maana ndie huanzisha mashambulizi toka katikati , ngoja kwenye derby utamfahamu vizuri Pacome ana kazi gani uwanjani, naona penati mbili za Yanga kwenye derby, tena kipindi cha kwanza Yanga 3 kolo 0 na mbio zenu za ubingwa zitaishia hapo 8/3
Mbona Pacome aliingia na alicheza almost dk 45 na sikuona chochote kilichobadilika
 
Back
Top Bottom