Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Mbona Pacome aliingia na alicheza almost dk 45 na sikuona chochote kilichobadilikaTimu ni muunganiko, mmoja akikosekana kuna kitu kinapungua kwa timu nzima, Pacome hufungua makufuli na Musonda anaingia ndani, kukosekana Pacome was a big mistake maana ndie huanzisha mashambulizi toka katikati , ngoja kwenye derby utamfahamu vizuri Pacome ana kazi gani uwanjani, naona penati mbili za Yanga kwenye derby, tena kipindi cha kwanza Yanga 3 kolo 0 na mbio zenu za ubingwa zitaishia hapo 8/3