Yes wale manyoka ( teller) usifikiri wanajifanyia tuu huu wizi...hii ni dealUlijuaje shoo? Ni crdb ndio. Kumbe wote lao moja?[emoji15]
qhere is rhe branch meneja office... i want to see the camera room alsoo..Nami kuna siku nilienda weka hela. Nilizitenga mafungu mafungu. Yaan nilitumia lisaa kwa utulivu sana pale bank. Na nilikua nimedress kama beki 3. Halafu nimenyoa. Ghafla teller ananambia imepelea 2m... yaan tena anaanza kunibunia eti utakua umekosea kuhesabu. Yaan natetemeka. Bora angesema imepelea elf 20. Yaan mil 2 nzima? Na vile nilikua rafu ile siku ndo akazidi kuniharass.
Na mimi nikambadilikia nioamwambia nazijua tabia zenu. Naomba twende camera room na baada ya hapo namtaka branch manager wenu maana naona huduma mnagawa kwa kuangalia outlook za watu. Akawa kama anakaza na mimi sasa nikaongeza loudspeaker. Nikagonga na meza. Nikauliza kwanguvu qhere is rhe branch meneja office... i want to see the camera room alsoo.. weee akaanza tetemeka. Yule dada anaanza nibembeleza anieleweshe. Nikamwambia camera ndo zitanielewesha.. nikaonyeshwa meneja chaap nikamfata. Nikamwelezea scenario. Akaniomba sana nitulie. Tukaenda kwa lile dirisha la yule mama wa makamo nikakuta ameshaandika amount yote... nikamwuliza mbele ya meneja hii 2mil ulosema imepelea umeidownload eh? Nikamwomba ahudumie watu kwa kutokuangalia mavazi. Hii bank ovyo sana. Yaan imeoza sana siku hizi. Sasa sijui kama huwa wanapewaga adhabu ama lah.
vp kuhusu airtel money?Inawezeka mkuu ata 200M zinakaa, ukiwaomba wanakupandisha kiwango Cha kuweka
wanahofia usalamaKwanini watu hawaweki hela majumbani ? Huku naona ndiyo bora zaidi,kama ukiwa unachelea kupata ukungu,unakuwa unatoa unazungusha unarudisha mpya hivyo hivyo.
Kuna watu wanatunza hela zao majumbani mwao.
Hizi nafasi huwa zinakuwa outsourced...Kama ni muhudumu au mlinzi wa getini?
Sasa wapi kwenye usalama wakati huko wanapigwa ?wanahofia usalama
Kwanza hapo ungeweza kupiga hela ndefu sana pale alipofoji sign yako ni kosa kubwa sana kisheria,upigaji bank upo sanaBank wahuni sana. Mwaka jana mwanzoni nilienda kuweka 1.3M kwenye account yangu ya NMB. Tukahesabu fresh, then baada ya kumaliza nikasepa.
Baadae yule teller wakati anafunga mahesabu, akawa inapelea laki 1. Kila akijaribu kuangalia ile loss inatokea wapi, hapati jibu. Mwisho wa siku akapitisha wazo kuwa mimi hela niliyopeleka ilikuwa 1.2M na sio 1.3M. Akajaribu kunipigia simu, sikuwa hewani. Kwavile alikuwa anataka kufunga hesabu, akaandika slip mpya, inayoonesha nimeweka 1.2M then akafoji sahihi yangu. Kwakifupi akatoa laki moja kwenye account yangu.
Nilipopata ujumbe baada ya kuwasha simu kuwa alinitafuta , ikabidi kesho yake mapema niende.Kufika pale ananipa slip aliyojaza yeye akisema tulikosea kuhesabu. Nikamwambia labda ukosee wewe, zile hela nilihesabu kabla sijatoka home. Tukabishana sana hadi kwenda kwa Manager. Yule teller anakomaa kuwa hata kwenye camera zimeonesha kuwa mimi na yeye tulikosea kuhesabu. Vutana sana pale, baadae kuna mmama mmoja nae ni mfanyakazi pale ndio akamuita ndani. Yule mama akamuonesha kosa lilipotokea, kumbe baada ya mimi kuondoka, kuna mtu alikuja na kutoa elfu 50, ila yeye akamuandakia kaweka elfu 50, it means loss ikajidouble.
Baada ya hapo jamaa akaniomba sana msamaha, mpaka natoka getini jamaa yupo ananiomba msamaha tu. Siku hiyo ndio nikajua kumbe bank inaweza kutoa hela kwenye account yako na usiletewe ujumbe.
Wezi sana.
Wewe utakuwa mmoja wapo wa wakata vipanga wa hela za watu maana si kwa utetezi huuMkuu si unapotezea tu kwani na wewe huibi katika nafasi yako? Huko ofisini hupigi panga? Kila mtu bongo ni mwizi katika nafasi yake. Ukiibiwa potezea tu. Cha kufariji huyo aliyekuubia naye atalizwa na aliyemliza naye atalizwa karma ipo kwa iyo usijali songa mbele
Mie pia nahisi niliwahi kupigwa hapo bank! Maana kuna kipindi niliweka mahali mzigo nikawa na draw bila kufuatilia ila nikashangaa ile hela imeisha kwa muda mfupi sana! Nilikuwa natolea hela dirishani sababu kadi ilikuwa ime expireKufwatilia Kuna siku nilibank 600,000 jamaa akaweka 60,000 akala 540,000
Na sikuwahi kuweka pesa chini ya laki ,manger akaniomba radhi Ila yula mtumishi alihamishwa pale dirishani
Wanakula wote wampe adhabu ya nini! Juzi nimeenda kununua tu dawa pharmacy kubwa kabisa nikaambiwa bei kabisa naenda kulipia kwa cashier eti hataki kurudisha change, namuuliza change yangu eti kwani umeambiwa sh ngapi! Ndiyo kakanirudishia halafu ni kamdada, wanawake siku hizi nao wamekuwa majizi sana.Nami kuna siku nilienda weka hela. Nilizitenga mafungu mafungu. Yaan nilitumia lisaa kwa utulivu sana pale bank. Na nilikua nimedress kama beki 3. Halafu nimenyoa. Ghafla teller ananambia imepelea 2m... yaan tena anaanza kunibunia eti utakua umekosea kuhesabu. Yaan natetemeka. Bora angesema imepelea elf 20. Yaan mil 2 nzima? Na vile nilikua rafu ile siku ndo akazidi kuniharass.
Na mimi nikambadilikia nioamwambia nazijua tabia zenu. Naomba twende camera room na baada ya hapo namtaka branch manager wenu maana naona huduma mnagawa kwa kuangalia outlook za watu. Akawa kama anakaza na mimi sasa nikaongeza loudspeaker. Nikagonga na meza. Nikauliza kwanguvu qhere is rhe branch meneja office... i want to see the camera room alsoo.. weee akaanza tetemeka. Yule dada anaanza nibembeleza anieleweshe. Nikamwambia camera ndo zitanielewesha.. nikaonyeshwa meneja chaap nikamfata. Nikamwelezea scenario. Akaniomba sana nitulie. Tukaenda kwa lile dirisha la yule mama wa makamo nikakuta ameshaandika amount yote... nikamwuliza mbele ya meneja hii 2mil ulosema imepelea umeidownload eh? Nikamwomba ahudumie watu kwa kutokuangalia mavazi. Hii bank ovyo sana. Yaan imeoza sana siku hizi. Sasa sijui kama huwa wanapewaga adhabu ama lah.
We jamaa ulipoteaga wakati wa jiweBINADAMU WANA TAMAA SANA, HUU WIZI UKOMESHWE
Namimi pia ilikuwa ni NMB hao hao! Yani nimewekea hela nimeenda ku draw mara 3 naambiwa eti salio lako halitoshi! Dah kmmmk nilisikitika ila nikapotezea ila kumbe kweli kuna huu wizi! Sasa subiria tuone awamu ile waliniosha this time watajua hawajui!Hawa NMB nikipata muda nitaenda na slip zangu tupige hesabu polepole bila kupigizana kelele. pesa niliyoweka na kutoa haziendani kuna gap la hamsini na kitu
Sasa nimeshapata mwangaza nilijua nimejichanganya kumbe mmenichanganya sasa mtajua hamjui
NMB ndio utapigwa utachakaa...Hio tabia almost watu wanaolalamikia humu 80% wamefanyiwa uhuni NMBHata mimi ndiyo hiyo hiyo. Sasa hivi nina mpango kuhamia NMB sijui wakoje.
Yes. Najua salary ni ndogo lakini hili la kuibiwa sikuwahi kujua ni mchongo wa mpaka maboss. Hii mbaya sana. Bank imekua ya ovyo sana hiiYes wale manyoka ( teller) usifikiri wanajifanyia tuu huu wizi...hii ni deal
Bank staffs wana njaa sana waone hivi hivi tu, labda loan officer ndo angalau
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan nilivurugwaaa. Yule teller akanambia eti mbona unang'ang'ania hiyo camera room. Mimi nilitaka tuu ajue siyo boya na basi. Nilitaka ajue najua engilishi hata cha kuombea maji na najuaga kuna kamera huko benki[emoji23][emoji23] kiujumla hiyo siku nilikua mchafu aisee... maybe alijua nimetoka uza mchicha ndo makusanyo. Halafu usisahau nikagonga kwenye meza kama wanavyofanyaga kwenye movie[emoji23][emoji23][emoji23]qhere is rhe branch meneja office... i want to see the camera room alsoo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipatii picha ulivokua unabwatuka
Hahahah kumbe wanajuana hawa washenziNi crdb?
Adhabu hawapewi coz teller na manager lao moja, ile hela huwa wanagawana
huyo kusema ni mfanyakazi wa UN haimaanishi alikuwa mwajiriwa hata hao OUTSOURCED hao hujiita waajiriwa wa UN coz ni kituo cha kazi tuHizi nafasi huwa zinakuwa outsourced...
Mathalani mlinzi anakuwa Suma au Knight Support na wafagiaji wanakuwa makampuni ya usafi n.k
Af mtoto wa baba una mambo wewe itabidi nije change room tuongee vizuri[emoji23][emoji23][emoji23] yaan nilivurugwaaa. Yule teller akanambia eti mbona unang'ang'ania hiyo camera room. Mimi nilitaka tuu ajue siyo boya na basi. Nilitaka ajue najua engilishi hata cha kuombea maji na najuaga kuna kamera huko benki[emoji23][emoji23] kiujumla hiyo siku nilikua mchafu aisee... maybe alijua nimetoka uza mchicha ndo makusanyo. Halafu usisahau nikagonga kwenye meza kama wanavyofanyaga kwenye movie[emoji23][emoji23][emoji23]