Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

Nmb hawajawahi kuniibia nikagudua,lakini kwa huu uzi kuanzia leo naongeza umakini
Tumia sim banking huibiwi ng'oo

Huwa wanaangalia mteja mwenye tendency ya kuchungulia account, wakishajua kuwa uko macho kodo...hela ako hawagusi abadan
 
Bas ukiwaona utadhani wanahelaa.. na wanakuaga na vidharau dharau vyao vya ajabu,
Ile status, kuvaa smart, AC...ndo vinawafanya waibe mpaka aibu

Hela hawana ila wanataka mambo makubwaa kinoma, kingine mikopo ya ist inawatupa kuogelea kwenye umasikini, thus full kudokoa kwenye account za wateja!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna changamoto za ndani ya benki ambazo wateja wengi hawazijui(Kiuhalisia hawapaswi kujua sababu haiwahusu).

kwanini hatupaswi kujua? huoni pia unaweka wasiwasi kwetu?

Hicho usichotaka kijulikane ndo sababu ya watu kulalamika humu.
 
Mmmmh[emoji848][emoji848]
 
Kuna changamoto za ndani ya benki ambazo wateja wengi hawazijui(Kiuhalisia hawapaswi kujua sababu haiwahusu).

kwanini hatupaswi kujua? huoni pia unaweka wasiwasi kwetu?

Hicho usichotaka kijulikane ndo sababu ya watu kulalamika humu.
Kwa mfano ukija benki ukashindwa kutoa hela sababu ya system iko down,Hivi hilo tatizo wewe kama mteja linakuhusu?,Wewe kama mteja inachotakiwa ukija bank upate hela zako on time (Pay on demand),full stop,mengine ya ndani its non of your business,hiyo ndio point yangu.
 
Nakupata vizuri, hakuna benki ina sera hiyo ila tambua wizi upo na wakati mwingine aliyeibiwa hafatilii.

Ila nimegundua akina dada au akina mama ndiyo wanaongoza kwenye hii michezo michafu. Sijui ni kwanini, lakini ukweli ndiyo huo.

Mfano. Nilitoka bank A na fedha nikaenda kudeposit CRDB pale Holland house. Binafsi nilihesabu fedha nikiwa bank A lakini pia walihesabu kwenye mashine. Yule mdada
wa CRDB kwa jina la E****r aliniambia elfu 10 imepelea. Nilitoa hiyo elfu 10 kwa shingo upande lakini nilijua nimepigwa kwa sababu sikuwa maakini alipokuwa anahesabu kwenye mashine
 
Kuna jamaa aliwahi kufanya kazi bank na alisema walikuwa wanaimba tuu....wanaangalia zile acc zilizokaa mida mrefu bila kuguswa... wanaamini huyu amekufa na hakuna wa kufuatilia.....wanapiga.
ila alikuja kuacha kwa madai yake inawezekana alifukuzwa
 
Wewe mdada Wa Stanbic pale Kariakoo Branch uliyenichomoleaga Laki moja yangu baada ya kutoa Milioni 3 tu. Mungu anakuona Kwa kweli..
 
Ni kweli mkuu,hayo yanatokea kwa tellers ambao sio waaminifu,.Mfano wewe ulipigwa elfu 10 hapo hapo ukiwa unaona,ila ungeweza kuwa na any documentation ambayo unaweza tumia kudai iyo elfu 10,benki ingeku refund probably yule dada angetoa yake akupe,..
Teller hawezi kuibia mteja sijui laki 5 au laki 1,hayo ynakuw makosa tu kwenye deposit process zake,maana wanajua jioni wakati wa kufunga hesabu lazima iyo ela itaonekana tu,Maana wana compare zile slips vs cash vs system balance.,Na ikionekana tofauti kama ni mteja amepungwa inawekwa siku ukija na slip yako kuuliza wanakupa.Sasa hapo hatuwezi to general comment kwamba benki ni wezi...
 
Mfanyakazi wa UN na analipwa mil 2?

Ina maana mishahara ya UN sivyo ambavyo watu tunafikiria ni minono kupindukia
UN huwa kuna grades mbili za mishahara-local na international. Fuatilia hata matngazo ya kazi ya UNHCR na WHO Tanzania.

Vv
 
NMB ni waizi sana hawa juzijuzi wamenikata bank statement mara mbili
 
Uuwuuii. Na mimi ni hapohapo Holland. Sema yule dada baada ya kunipa slip kamili baada ya mzozo sikuhangaika nae tena. Sijui kwanini sikumshika jina nimsubirie sehemu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa aliwahi kufanya kazi bank na alisema walikuwa wanaimba tuu....wanaangalia zile acc zilizokaa mida mrefu bila kuguswa... wanaamini huyu amekufa na hakuna wa kufuatilia.....wanapiga.
ila alikuja kuacha kwa madai yake inawezekana alifukuzwa
Sitapenda kumtaja huyu dada kwakua amefariki nadhan mwaka jana mwishoni ama mwaka huu. Ni maarufu na nduguye ni amewahi kuwa waziri. Alikua staff qa barclays ya enzi hizo.
Yeye alikua ni mtu wa kupiga hela na kukopa ili kukeep na status ya sir name. Ni wana jina haoo... she used to smell good jamani, the hills etc. Yaanii. Si mnajuaga hekaheka za wadada wa barclays enzi hizo na English zao? Basi huyu dada alikua anaangalia account ambayo haijatumika muda mrefu. Halaf wanatengeneza vitambulisho upya na procedure zingine za kibenk. Yeye anatoa details zingine. So wale anaosuka nao mchongo wanakuja wanaulizwa maswali basic na wanajibu vyema kbs. Sasa kuna mzee account yake hakua ameitumia muda sana. Ilikua na mil 500. Bibie akasuka mchongo. Hela ikapigwa. Sijui ilikuaje. Mwenye ile account sikumbuki vyema sababu ya yeye kwenda pale bank. Basi kuchek account haina kitu. Ndo wakaanza fatilia. Wakakuta bibie ndo anahusika. Akasimamishwa kazi halaf sikumbuki ilikuaje. Sikumbukagi kama alipelekwa police ama lah ni kama miaka 6 ama 7 hivi imepita. Pia akawa na madeni makubwa sana kwa staff wenzake na mtaani maana alikua anapenda sana bata. Na sikumbuki oia walilinalizaje hili jambo lakini maisha yaliendelea. Nadhani ndugu walichanga maybe maana kilinuka haswa.
Kifo chake kilinisikitisha sana... musimtaje jaman kama mukiweza unga dots
 
Hapa nimejifunza sana bora uweke hela kwenye vibubu. Inaelekea marehemu wanapigwa sana na Mabenki pale ndugu wanapofatilia pesa za mtu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…