Tetesi: Mchezo wa leo utakuwa wa mwisho kwa Aziz Ki kama mchezaji wa Yanga

Tetesi: Mchezo wa leo utakuwa wa mwisho kwa Aziz Ki kama mchezaji wa Yanga

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Mchezo wa leo wa nusu fainali ya CRDB CUP, Kiungo Stephen Azizi Ki utakuwa mchezo wake wa mwisho ndani ya kikosi cha Yanga SC.

Azizi Ki anaondoka Yanga SC baada ya mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania.

Source: Nassib Mkomwa kupitia akaunti yake ya X zamani Twitter
IMG_6787.jpeg
 
Mikataba ya wachezaji inakwisha baada ya msimu kumalizika, Msimu huu wa mashindano unakwenda mpaka mwishoni mwa Jun.
Aziz ataondoka na ilo linafahamika ila ni mwisho wa msimu.
 
Vipi mzize je, naye si tulisikia anaenda wedada ayeba, waende tu wakasugue mbao ndefu huko
 
Acha wivu mzize akifanikiwa ni faida kwa tim ya taifa weka emben usimba na uyanga muombee mema
Yani mimi naongea ukweli wewe unasema niache wivu kwani mimi ndiye ninayeamua hao wachezaji wakakae bench huko, kwahiyo unataka niongee uongo ili tu niwafurahishe mashabiki wa yanga au unadhani hatuzijui hizo timu za waarabu, nani asiyejua hao waarabu wanachowafanyia wachezaji wengi wanao wasajili toka timu za kwetu huku au unadhani hao kina mzize ndio watakuwa wa kwanza
 
Back
Top Bottom