makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Wydad wanaruhusa ya kusajili kujiweka sawa na mashindano ya fifa club cup hivyo kama wamemalizana na yanga, mchezaji anaweza kuondoka bila kumalizia huo msimu wake,Aziz mwaka jana alisaini mkataba wa miaka miwili, katumikia mmoja umebaki mmoja. Hajaondoka kama mchezaji huru, halafu biashara ya mpira club zikielewana na kufuata procedures biashara inaisha na kwa Africa dirisha la usajili linafunguliwa tarehe moja June.
Kwenye usajili huwa wanaangalia kule unakoenda kama dirisha lao la usajili liko wazi ama lah, sio huko anakotoka.