cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Aziz ki kaleta maumivu gani? Mbna sioni kabisa, mie mchezaji wa Yanga kwa kipindi cha karibuni aliyeitesa simba ni Mayelee, nilifurahi alivyoondoka.Mbereko Fc watafurahi sana ikitokea huyo mwamba akaondoka kweli. Maana tangu amefika Jangwani, maumivu aliyo waletea hayasimuliki.