Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Wewe jamaa🤣🤣Mpka awakende ya mwisho ndio anaondoka
KafanyajeLAMINE CAMARA
Sawa mtaalamMikataba ya wachezaji inakwisha baada ya msimu kumalizika, Msimu huu wa mashindano unakwenda mpaka mwishoni mwa Jun.
Aziz ataondoka na ilo linafahamika ila ni mwisho wa msimu.
Vipi umetajirika walivyoshindaIla Berkane...
Acha wivu mzize akifanikiwa ni faida kwa tim ya taifa weka emben usimba na uyanga muombee memaVipi mzize je, naye si tulisikia anaenda wedada ayeba, waende tu wakasugue mbao ndefu huko
Yani mimi naongea ukweli wewe unasema niache wivu kwani mimi ndiye ninayeamua hao wachezaji wakakae bench huko, kwahiyo unataka niongee uongo ili tu niwafurahishe mashabiki wa yanga au unadhani hatuzijui hizo timu za waarabu, nani asiyejua hao waarabu wanachowafanyia wachezaji wengi wanao wasajili toka timu za kwetu huku au unadhani hao kina mzize ndio watakuwa wa kwanzaAcha wivu mzize akifanikiwa ni faida kwa tim ya taifa weka emben usimba na uyanga muombee mema
Itokee mara ngapi?Mbereko Fc watafurahi sana ikitokea huyo mwamba akaondoka kweli. Maana tangu amefika Jangwani, maumivu aliyo waletea hayasimuliki.