Tetesi: Mchezo wa leo utakuwa wa mwisho kwa Aziz Ki kama mchezaji wa Yanga

Mbereko Fc watafurahi sana ikitokea huyo mwamba akaondoka kweli. Maana tangu amefika Jangwani, maumivu aliyo waletea hayasimuliki.
Aziz ki kaleta maumivu gani? Mbna sioni kabisa, mie mchezaji wa Yanga kwa kipindi cha karibuni aliyeitesa simba ni Mayelee, nilifurahi alivyoondoka.
 
Sasa Derby itakuwaje;! Au ndio HATUCHEZIπŸ˜‚
 
Mikataba ya wachezaji inakwisha baada ya msimu kumalizika, Msimu huu wa mashindano unakwenda mpaka mwishoni mwa Jun.
Aziz ataondoka na ilo linafahamika ila ni mwisho wa msimu.
Wewe ni kenge kwelikweli
 
Aziz ki kaleta maumivu gani? Mbna sioni kabisa, mie mchezaji wa Yanga kwa kipindi cha karibuni aliyeitesa simba ni Mayelee, nilifurahi alivyoondoka.
Fiston Mayele, Stephane Aziz Kii na Max Nzengeli wamekuwa ni miiba michungu sana kwa Mbereko Fc ndani ya hii miaka michache. Na kama huamini, basi wewe siyo mshabiki wa mpira.
 
Fiston Mayele, Stephane Aziz Kii na Max Nzengeli wamekuwa ni miiba michungu sana kwa Mbereko Fc ndani ya hii miaka michache. Na kama huamini, basi wewe siyo mshabiki wa mpira.
Usinichekeshe kabisa, nzengeli? Real? Hauko serious, na unajitahidi kujipa furaha na venye hamna,
At least hata huyo Aziz tena 7bu usajiri wake ulikua na heka heka nyingii, Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sa itakuaje kwa yule dada yetu maana tulimuozesha ili abaki baki....
 
Jamaa alijitahidi sana leo apate goli la kuwaagia utopolo ila game ikakataa. Ile T-shirt aliyovaa ndani ya jezi ameshindwa kutuonyesha.

Kama anaenda Wydad, angefanikiwa zaidi huko kama angekuwa chini ya kocha Mokwena na tena angetakiwa aende miezi mingi nyuma. Fitness yake siyo nzuri kwa sasa.
 
Kapambane na Berkane kwaza ndio uje kutoa ushauri
 
Mbona mlimkimbia march 8
 
Mikataba ya wachezaji inakwisha baada ya msimu kumalizika, Msimu huu wa mashindano unakwenda mpaka mwishoni mwa Jun.
Aziz ataondoka na ilo linafahamika ila ni mwisho wa msimu.
Mkuu anaenda kama mchezaji huru ama kanunuliwa?
Kama mchezaji huru hasi ndio anapaswa kusubiri msimu uishe,
Kama ananunuliwa basi anaweza kuondoka kama tu timu inayomnunua dirisha lao la usajili liko wazi.

Hivyo si ajabu azizi ki kuondoka kama wydad wana ruhusa ya kusajili.
 
Kila la kheri aziz k na asante kwa kila kitu
 
Usinichekeshe kabisa, nzengeli? Real? Hauko serious, na unajitahidi kujipa furaha na venye hamna,
At least hata huyo Aziz tena 7bu usajiri wake ulikua na heka heka nyingii, Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tangu max nzengeli ajiunge yanga alichoweza kwa ufasaha ni kuchomekea tu.
 
Aziz mwaka jana alisaini mkataba wa miaka miwili, katumikia mmoja umebaki mmoja. Hajaondoka kama mchezaji huru, halafu biashara ya mpira club zikielewana na kufuata procedures biashara inaisha na kwa Africa dirisha la usajili linafunguliwa tarehe moja June.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…