makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Wydad wanaruhusa ya kusajili kujiweka sawa na mashindano ya fifa club cup hivyo kama wamemalizana na yanga, mchezaji anaweza kuondoka bila kumalizia huo msimu wake,Aziz mwaka jana alisaini mkataba wa miaka miwili, katumikia mmoja umebaki mmoja. Hajaondoka kama mchezaji huru, halafu biashara ya mpira club zikielewana na kufuata procedures biashara inaisha na kwa Africa dirisha la usajili linafunguliwa tarehe moja June.
Haswaaa. ππππTangu max nzengeli ajiunge yanga alichoweza kwa ufasaha ni kuchomekea tu.
Dirisha la CAF lipo wazi kuanzia June moja kwa hiyo kwa Aziz wapo sawa,hata madirisha ya ligi nyingi kuanzia June yataanza kufunguliwa.Wydad wanaruhusa ya kusajili kujiweka sawa na mashindano ya fifa club cup hivyo kama wamemalizana na yanga, mchezaji anaweza kuondoka bila kumalizia huo msimu wake,
Kwenye usajili huwa wanaangalia kule unakoenda kama dirisha lao la usajili liko wazi ama lah, sio huko anakotoka.
Anaondoka leo maana anaaenda kucheza world cup ya klabu huko marekani na wydad timu anayoenda itacheza na manchester cityAziz mwaka jana alisaini mkataba wa miaka miwili, katumikia mmoja umebaki mmoja. Hajaondoka kama mchezaji huru, halafu biashara ya mpira club zikielewana na kufuata procedures biashara inaisha na kwa Africa dirisha la usajili linafunguliwa tarehe moja June.
That was a game mzee, Kuhamisha attention ya Jamii tu Katika wakati uleSa itakuaje kwa yule dada yetu maana tulimuozesha ili abaki baki....
Anaenda naeThat was a game mzee, Kuhamisha attention ya Jamii tu Katika wakati ule