kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Huyu waziri analeta utopolo ningekuwa mimi Karia ningekazia msimamo analeta madudu, timu yake inakimbia halafu anaongea pumba
Mpaka sasa hawataki kuwaambia watanzania chanzo cha mechi kusogezwa mbele...pesa za viingilio ndo kwaheri
Tumemalizia usafi kiota ya kwerea kwerea na kumnunulia kaka ake sholwe bwenziMpaka sasa hawataki kuwaambia watanzania chanzo cha mechi kusogezwa mbele...pesa za viingilio ndo kwaheri
Kufikia sasa Yanga SC ndio imebeba hatima ya mpira kwa Tanzania aidha ifungiwe au lah! Yanga SC wakilisogeza hili CAF au FIFA, mpira utaanza kusahaulika.
Mimi sio shabiki wa vilabu hivi ni shabiki wa Kagera Sugar lakini TFF imekuwa na mambo ya hovyo yanayokera, nashangaa watu kulichukua hili kwa mapenzi kuliko mtazamo wa kiuhalisia.
Umeongea vzur ,rejea ata mechi ya namungo ambayo alitakiwa acheze kule angola kimsing serikal yao ndio ilikua sababu ya ile mechi kutochezwa kule baadae caf wakatoa taarifa kwamba wao wanaanza kueshimu taratibu na sheria za nchi kwanza mwsho mechi ikarudiwa kama ingekua kila serikal ikiusika bas kufungiwa nadhan nchi nyng zingekula ban kila cku ,kutofutisha mpra na serikal ni kutaka tu kuwe na mgawanyo wa majukum na madaraka pamoja na kuheshimiana lakn iv vtu lazma viingiliane sana ndio maana nchi nyng zina wizara ya michezo au taasisi inayousika na michezo
tatizo ni wazee wa Dar na Kitabu cha mzee mwinyi + tiefuefuHivi mbona wanakwepa sana kusema ni nini kilisababisha kughairi huu mchezo?
Kwanini hatuambiwi tatizo lilikuwa nini?
Si rahisi mkubwa kujivua nguo mbele ya kadamnasi! Itoshe tu kuwa serikali imeomba radhi!! Ukidai zaidi ya hapo utakuwa na lako jambo!Hivi mbona wanakwepa sana kusema ni nini kilisababisha kughairi huu mchezo?
Kwanini hatuambiwi tatizo lilikuwa nini?
ukiona hivyo ujue waliokata tiketi ni zaidi ya hapo wanataka kuweka idadi ya wati hadi kwenye desimali43947 au 43948?
Wale wapumbavu waliokuwa wanasema serikali HAIUSIKI Na TFF mmeona?.
Bro mie shabiki wa Kagera Sugar na kwa uwazi sipendi kuona hivi vilabu vikiwa juu maana vimevuruga mpira wa Tanzania na hasa Kagera Sugar.Utopolo unajifichaje kupitia kagera sugar?
Ukiona nyani anang'ang'ania shamba la miwa ni kwa vile ana njaa.Maana hawezi kukwea miwa
Sip kwa scenario kama hiyo ya mechi ya simba na yangaKaiulize Nigeria
Si rahisi arudishe ,na si kitonga utalipaje mara mbiliWe Jamaal unapenda kitonga kwanini usingemdai huyo wa kibanda umiza ambaye amekulipisha na mechi hujaiona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si rahisi arudishe ,na si kitonga utalipaje mara mbili
Sababu iko wazi na inajulikana. Hata wewe unaijua pia. Ni sababu ya kijinga isiyokuwa na maana ndiyo maana hata hao Serikali wanaona aibu kuisema hadharani.Unaijua sababu ya kupelekwa mbele ya ule mchezo? Tujuze mkuu
[emoji23][emoji23]Si rahisi arudishe ,na si kitonga utalipaje mara mbili
Na ile bendi uwanjanì ilikuwa ya nn?Sababu iko wazi na inajulikana. Hata wewe unaijua pia. Ni sababu ya kijinga isiyokuwa na maana ndiyo maana hata hao Serikali wanaona aibu kuisema hadharani.
Iko hivi : siku ile Mzee Mwinyi alikuwa anazindua kitabu chake na ndiyo maana wakaona wasogeze mchezo mbele mpaka saa moja jioni.
Sasa kama walifahamu ratiba ya mpira itaingiliana na uzinduzi wa kitabu kwanini hawakupanga tarehe ya mechi iwe siku nyingine?