Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Huyo ni mchimbaji wa kati
ni mchimbaji mdogo kwa maana ya leseni yake Primary Mining Licence(PML)
Wachimbaji wote wenye leseni hiyo wanatambulika kama wachimbaji wadogo tofauti na makampuni mengi makubwa yanatambulika kwa leseni zao kama Mining Licence(ML)
Kuna vigezo lazima utimize kulingana na kila aina ya leseni unayotaka ndipo upatiwe kulingana na maombi na vigezo
 
Hilo alipata pamoja na yale mengine. Sema hili walificha naona walitaka kulitorosha sema serikali ina masikio marefu.
Wakina na nani walitaka kulitorosha kauli yako haiingi akilini
 
Hovyo kabisa, kwa hiyo unataka kumthibitishia jamaa kwamba wewe unafahamika kwa Diwani sivyo? Pumbavu sana we kijana.
 
Wajameni, huyu ni mchimbaji hasa aua anamilili mgodi mdogo na anaajiri wafanyakazi wamchimbie? Anayejua naomba maelezo
 
Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
 
Niliwaza hivi pia. Isipokua sikuwaza kua kushindwa kuyatoa nje ndiyo sababu ya kuuza kwa serikali.

Ila sidhani kama ni kosa kisheria.
 
Kwani hata akiwa nayo ni lazima ayauze? Haya mawazo ya kimaskini yataisha lini?
 
Ingia Fronti laini ...Fronti fedi mkuu Kama praiveti investigeta
Utuletee udambwidambwi wote Kama kaficha au lah ....

Anyway nipasie ...dude hilo nichukue resi kadhaa mwanangu
 
Hakuna ubaya hata mimi nimelima mahindi nina gunia 135 nasubiri njaa ije yapande bei niuze!!!
 
Uwezekano wahili kuwa kweli ni mkubwa! Ni vigum kupata madini makubwa kama hayo katika mda mfupi huchukua mda sana kupata madini haya kuna watu wanamwaka 4 sasa hawajafanikiwa, uwezekano wa kwamba yapo nikwamba kashindwa yatoa nje pia ni mkubwa kutokana na jinsi serikali imelikalia hili.
 
Na wewe kachimbe ufiche mkuu, Yale Ni ya kwake anaamua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…