Sio kosa ila anaweza kuwa alikuwa nayo ndani sasa anaanza kutoa labda kashindwa kusafirishaNiliwaza hivi pia. Isipokua sikuwaza kua kushindwa kuyatoa nje ndiyo sababu ya kuuza kwa serikali.
Ila sidhani kama ni kosa kisheria.
Hujakosea ni kweli wewe mwenzangu hongera ni tajiriYote haya mawazo ya kimasikini
Miamba ya madini yawezekana inasomeka vizuri .Uwezekano wahili kuwa kweli ni mkubwa! Ni vigum kupata madini makubwa kama hayo katika mda mfupi huchukua mda sana kupata madini haya kuna watu wanamwaka 4 sasa hawajafanikiwa, uwezekano wa kwamba yapo nikwamba kashindwa yatoa nje pia ni mkubwa kutokana na jinsi serikali imelikalia hili.
Hata kama anayo mengi si yake......Inaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
Sio kwamba soko la nje ulikokuwa unauza limefungwa ?Hakuna ubaya hata mimi nimelima mahindi nina gunia 135 nasubiri njaa ije yapande bei niuze!!!
Sijashindana nimetoa mawazo yangu tuu huenda kuke mwanzo ni miongoni mwa waliokuwa wanakwepa kodi hapa nchini wanakimbiza kuuza nje sasa soko na njia zimefungwa ndio anajitokeza saa hizi maana hana namnaHata kama anayo mengi si yake......
na kodi ya serekali si analipa.....
ama ni dhambi kuwa na madini mengi...!!!?
Mungu amembariki ww kubali tu....
usishindane nae
Ni maamuzi yake ayauze au akae nayo ndani, sasa serikali imfatilie ya nini.Sio kosa ila anaweza kuwa alikuwa nayo ndani sasa anaanza kutoa labda kashindwa kusafirisha
Asipouza atayapeleka wapi hivi unajua akiwa nayo asipouza au kuhifadhi sehemu ya usalama zaidi ni hatari kwa usalama wakeKwani hata akiwa nayo ni lazima ayauze? Haya mawazo ya kimaskini yataisha lini?
Kaficha mengi zaidi ya hayoNi maamuzi yake ayauze au akae nayo ndani, sasa serikali imfatilie ya nini.
Duu [emoji23][emoji23]Ingia Fronti laini ...Fronti fedi mkuu Kama praiveti investigeta
Utuletee udambwidambwi wote Kama kaficha au lah ....
Anyway nipasie ...dude hilo nichukue resi kadhaa mwanangu
Hili wazo nshakuwa nalo kitambo sana huyu ameyaficha sehemu ndio maana hata halalamiki bei anayopewa na serikaliInaweza ikawa anayo mengi ndani hii ni baada ya milango ya kupeleka nje kufungwa sasa amekosa chansi ya kusafirisha nje na soko kufunguliwa hapa nchini kaamua kuanza kuyatoa ,serikali fuatilieni huyu mtu.
Haya ni mawazo yangu tuu niko tayari kukosolewa.
Tatizo watu hawalioni hili.Uwezekano wahili kuwa kweli ni mkubwa! Ni vigum kupata madini makubwa kama hayo katika mda mfupi huchukua mda sana kupata madini haya kuna watu wanamwaka 4 sasa hawajafanikiwa, uwezekano wa kwamba yapo nikwamba kashindwa yatoa nje pia ni mkubwa kutokana na jinsi serikali imelikalia hili.
Mnapotoa mazao shambani huwa mnayapeleka sokoni moja kwa moja? Yale maghala ya kuifadhia mazao huwa ni ya nini? Ushawahi kufanya hata biashara ya nyanya? Market forces unaulewa nao?Asipouza atayapeleka wapi hivi unajua akiwa nayo asipouza au kuhifadhi sehemu ya usalama zaidi ni hatari kwa usalama wake
Nilichimba miaka 3 niliambulia kupata smoke tuu nikaachana na ile biasharaNa wewe kachimbe ufiche mkuu, Yale Ni ya kwake anaamua mwenyewe
Mhujumu uchumiIkigundua kaficha na anayo then inakuwaje?
Kuna jamaa mmoja mahenge alikaa ndani miaka miwili kwa kuhifadhi mchanga wa kutengenezea marumaru alipewa kesi ya uhujumu uchumi. na huo mchanga ulikuwa wake alichimba kihalali. Hii kesi alimuhusisha na Afsa madili wa mkoa wa morogoro ambaye walikaa wote lupango.Hata kama anayo mengi si yake......
na kodi ya serekali si analipa.....
ama ni dhambi kuwa na madini mengi...!!!?
Mungu amembariki ww kubali tu....
usishindane nae