Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

S
Anasubir vip na anayo kibao mkuu sio kila kitu ni wazungu acha akili za kitumwa
Sio akili za kitumwa... mchina hyo technology bado hajapewana wamarekani...

Kiwanda kilichopo shangai Cha magari hayo ya umeme ni Cha Elon musk's mmarekan..na alitishia kukiamishia amerika wachina wakaanza lialia watakosa ajira... serikali ya mchina ikampigia magoti asikiamishe...

Mchina Hana hyo technology Hadi wamarekani waruhusu awe nayo..yy kama yy hawez
 
Aisee nimeshangaa kuona TRA hata kwa gari za umeme kodi bado iko juu balaa! Nimejaribu kuangalia Nissan Leaf (electric) ya mwaka 2012 gari inauzwa 4.5m ila kodi yake ni 9m!
 
Hata
nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa electrical car's ni China ,Source from GoogleView attachment 2740562
Hata huelewi..wamiliki wa hvyo viwanda ni wamarekani waliowekeza uko china sabb ya malighafi na cheap labour..ila technology ya hayo magari ni wamarekani wanayo...siku wakiamua funga hivyo viwanda uko china basi china itabaki zalisha pampasi na soksi
 
Waboreshe na huo muonekano sasa mbona kigari chenyewe kina sura mbaya hivyo..?😀
 
Kwann kama taifa tusinifunze kuzalisha aina mbadala wa mafuta ya kuendeshea gari pasipo kutegemea Muarabu hali malighafi tunazo tele zinaoza tu
Kuna Yule engineer anaezalisha petrol Kwa kutumia plastics toka Udom nadhani
Angepewa sapoti aweze kuzalisha Kwa kiwango kikubwa ,ila sidhani kama itawezekana Kwa maana namna watu weusi tulivyo wa hovyo
 
Nimeangalia post nikadhani ya zamani sana
Mkuu China anafyatua magari kama kichaa na 🇬🇧 wameweka target mwaka 2035 magari yote yawe ya umeme na wanamtegemea sana mchina ili awatengenezee mpaka batteries

Mimi nafikiri tungejaribu hata kutuma vijana wakasomee namna ya kutengeneza batteries za magari ili tuwe na kiwanda kikubwa sana nchini

Tutawategemea mpaka lini?

Taiwan wana pikipiki zaidi ya milioni 14 na wameanza kuzibadili zote ziwe za umeme
Unanunua pikipiki unazunguka charge ikiisha unapita sehemu unabadilisha battery sio una charge bali unabadili tu

Hii nataka kuileta tz hata pikipiki 20 tu za kuanzia na battery zinakuwa kituo changu
Mnakwama wapi
 
Wazo Sana hili
Lakini ngozi iliyolaaniwa ipo ipo tu ,inafikiria ukwapuaji tu
 
Muda tulio nao ni kusifia serikali, na kuiombea nchi
 
Anasubiri apewe technology na wazungu.. wamarekani Kwa sasa hawatoi technology yao ovyo.. mchina Hana anachojua Zaid ya kukopy
Tajiri usiyekuwa na akili.

Hiyo 5g wa china ndo wa kwanza kumove kweny simu chini ya Huawei ndo maana walipata sanction kwa sababu ya kuharibu mazingira na uhai wa viumbe kutokana na teknolojia ya 5g.

Wachina wapo mbele muda walishatengeneza hayo magari ,huku bongo yataletwa less quality tena mpaka soko lichanganye huko 2040.
 
BYD
Nio
Xpeng
Li auto
Hongqi
SAIC motor
Yutong

FAW


Yapo makampuni mengi sana ya EV China zaidi ya 20 huko mengine yana zaliwa mengine yana kufa kutokana na ushindani mkubwa uliopo nchini kwao hayo ni machache tu nimekuwekea.

Pesa yako tu mwanangu unachukua mzigo wowote wa kichina wa EV unaotaka
 
Bado unaishi zama za mawe
 
Dogo unaandika ujinga, hivi unafahamu hata Tesla inapatia wapi EV batteries ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…