TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Sipangiwi dogoHivi kiswahili kinakushinda?
"...Upo sawa kwa muono wako.Lakini,si sahihi ukiichukulia ikulu si nyumba ya Ruto...ni nyumba ya aliye/atakayekuwa kiongozi mkuu/rais wa Kenya. Na,Ruto ni wa muda tu"...!
Ulishindwa kuandika hivyo?
As long as umeelewa yatosha