Sipangiwi dogoHivi kiswahili kinakushinda?
"...Upo sawa kwa muono wako.Lakini,si sahihi ukiichukulia ikulu si nyumba ya Ruto...ni nyumba ya aliye/atakayekuwa kiongozi mkuu/rais wa Kenya. Na,Ruto ni wa muda tu"...!
Ulishindwa kuandika hivyo?
Sawa Mchuchu NJOO chumbani basi nikutulize asubuhi hiiNimeacha asije niambukiza tabia zake
Niko menopauseSawa Mchuchu NJOO chumbani basi nikutulize asubuhi hii
Upuuzi mtupu.Kumbe uache kiheremswede.
Mkuu wewe usiona sawa andaman acha sisi wenye matongo tonge tuenjoy lifeWatanzania bado wana matongotongo. Siku wakijua kunawa uso na kutoa matongotongo machoni. Moto utawaka kuliko wa Kenya.
Huwezi kuwa na nchi ambayo haina kiwanda cha magari wala tractor lakini ukinunua gari au tractor $5000 serikali inakutoza kodi $4000-6000. Halafu wanaona sawa.
Kwa uwezo menopause itasoma hakuna menopause mchuchu njoo chumbaniNiko menopause
Dogo mchungulie kwenye gagulo lako utamuona.Sipangiwi dogo
As long as umeelewa yatosha
Andamana Hawa Jamaa wa CCP Chang'ombe wakakuvutie Bange wakukute ni za kichwa tu hawaulizi sana maswali mengi alafu ni za moto sio za utani kitu Chuma za ugoko Kifo hiki hapaMkuu wewe usiona sawa andaman acha sisi wenye matongo tonge tuenjoy life
No,It is not a crime to mention the alternative way of fighting against the corrupt governments as wellIs it a crime to criticise?
Nataka mwanaume wa kikenya nyie endeleeni kuwa machawaKwa uwezo menopause itasoma hakuna menopause mchuchu njoo chumbani
Inshallah!!Hawa watu wapo serious
Huu upepo tuombe usifike tu bongo
Mchuchu acha kua hivyo Mimi ni rasta nina makole ya Mbuzi nakula majani km Mbuzi yaan peace and loveNataka mwanaume wa kikenya nyie endeleeni kuwa machawa
ππMchuchu acha kua hivyo Mimi ni rasta nina makole ya Mbuzi yaan peace and love
So, if it is not a crime why do you want to force me make suggestions?No,It is not a crime to mention the alternative way of fighting against the corrupt governments as well
Yeah Mchuchu ndio hivyo kuja chumbani basiππ
Wamesema lini?Wale wadukuzi wa kimataifa walisema wataungana na raia wa kenya kufanya yao