Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kaka, Mungu akupe nguvuJitahidi uachane naye .
Mwenzio niliachwa na wife na tumezaa ila akaomba talaka na akadhibitisha watoto si wangu alafu nikapewa kadi ya harusi siko alipoolewa na bwana mpya ,nilihudhuria nilikuwa kila muda naenda chooni kufuta machozi na kurudi ukumbini ila sikufanya chochote zaidi nakumbuka nililewa Sana mpaka wakanibeba kunipeleka kwangu .
Alafu asubuhi nilikaa kikao na halmashauri ya kichwa changu ili tujadili kilichojiri na kipi kinafanyika ,halmashauri na kichwa kwa pamoja turiridhia kuacha yaliyopita yapite ,Sasa ni miaka mingi nipo nadunda na mzima wa afya kaka .
Jifunze kukubali yapite ndugu ,uhai na afya yako ni Bora kuliko mapenzi ,dah umeniumiza Mara ya pili nimeandika nalia tena 😭😭😭😭😭😭😭😭
Atafuta demu mkali kuliko huyo ex wake aende naye kwenye harusiTafuta mwengine oa
Sasa miaka mitano yote mnahusiana nini ndugu.
Pole nduguJitahidi uachane naye .
Mwenzio niliachwa na wife na tumezaa ila akaomba talaka na akadhibitisha watoto si wangu alafu nikapewa kadi ya harusi siko alipoolewa na bwana mpya ,nilihudhuria nilikuwa kila muda naenda chooni kufuta machozi na kurudi ukumbini ila sikufanya chochote zaidi nakumbuka nililewa Sana mpaka wakanibeba kunipeleka kwangu .
Alafu asubuhi nilikaa kikao na halmashauri ya kichwa changu ili tujadili kilichojiri na kipi kinafanyika ,halmashauri na kichwa kwa pamoja turiridhia kuacha yaliyopita yapite ,Sasa ni miaka mingi nipo nadunda na mzima wa afya kaka .
Jifunze kukubali yapite ndugu ,uhai na afya yako ni Bora kuliko mapenzi ,dah umeniumiza Mara ya pili nimeandika nalia tena 😭😭😭😭😭😭😭😭
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.
Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka kuwa hanitaki yaani amekutana na better half hivyo anafunga ndoa.
Alivyo na jeuri kanipa na kadi kabisa. Hapa nimepanga na wahuni wa kitaa tukamharibie. Yaani hawezi niacha kizembe hivi. Ameanzisha lazima nimalizie, ngoja leo nilewe kabisa.

Umekosa vyote mke na watoto kwa siku moja.Jitahidi uachane naye .
Mwenzio niliachwa na wife na tumezaa ila akaomba talaka na akadhibitisha watoto si wangu alafu nikapewa kadi ya harusi siko alipoolewa na bwana mpya ,nilihudhuria nilikuwa kila muda naenda chooni kufuta machozi na kurudi ukumbini ila sikufanya chochote zaidi nakumbuka nililewa Sana mpaka wakanibeba kunipeleka kwangu .
Alafu asubuhi nilikaa kikao na halmashauri ya kichwa changu ili tujadili kilichojiri na kipi kinafanyika ,halmashauri na kichwa kwa pamoja turiridhia kuacha yaliyopita yapite ,Sasa ni miaka mingi nipo nadunda na mzima wa afya kaka .
Jifunze kukubali yapite ndugu ,uhai na afya yako ni Bora kuliko mapenzi ,dah umeniumiza Mara ya pili nimeandika nalia tena 😭😭😭😭😭😭😭😭
Niko salama wa afya ,sijafanya come back yoyote ila nimegundua kuwa haitakiwi Mimi nimpende mwanamke wa kuoa ila anipende yeye baada ya kumpata mdada mzuri mmoja wa mji wa mbeya ili nimuoe ,akanipiga kibuti baada ya kumvutia hela afanye biashara ,akaenda kuolewa na mlina asali huko Tabora .Umekosa vyote mke na watoto kwa siku moja.
Sorry but, I you don't mind me asking, unaendeleaje? Umefanya comeback??
Pole sana, kama hii ni kwel, nisaidie kufahma machache.Jitahidi uachane naye .
Mwenzio niliachwa na wife na tumezaa ila akaomba talaka na akadhibitisha watoto si wangu alafu nikapewa kadi ya harusi siko alipoolewa na bwana mpya ,nilihudhuria nilikuwa kila muda naenda chooni kufuta machozi na kurudi ukumbini ila sikufanya chochote zaidi nakumbuka nililewa Sana mpaka wakanibeba kunipeleka kwangu .
Alafu asubuhi nilikaa kikao na halmashauri ya kichwa changu ili tujadili kilichojiri na kipi kinafanyika ,halmashauri na kichwa kwa pamoja turiridhia kuacha yaliyopita yapite ,Sasa ni miaka mingi nipo nadunda na mzima wa afya kaka .
Jifunze kukubali yapite ndugu ,uhai na afya yako ni Bora kuliko mapenzi ,dah umeniumiza Mara ya pili nimeandika nalia tena 😭😭😭😭😭😭😭😭
Mzee mbona kila mwanamke anakufanyia hivo, au sio fungu lako?Niko salama wa afya ,sijafanya come back yoyote ila nimegundua kuwa haitakiwi Mimi nimpende mwanamke wa kuoa ila anipende yeye baada ya kumpata mdada mzuri mmoja wa mji wa mbeya ili nimuoe ,akanipiga kibuti baada ya kumvutia hela afanye biashara ,akaenda kuolewa na mlina asali huko Tabora .
Itoshe kusema nipo kama Jana ,sielewi moja Wala mbili ila kiafya nimejaa tele na Sina mpango wa Mambo hayo kwasasa
Sasa huoni wewe ndio mwenye matatizo fikiria huyo ni mwanamke amekaa na wewe miaka mitano na inawezekana alishakuambia mfunge ndoa ukawa unapiga kalenda. Akijiangalia anaona anapoteza muda kwa mtu ambae hana hana mpango wa kuoa. Cha kukushauri achana na nia ovu usimharibie sherehe mtoto wa watuMapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.
Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka kuwa hanitaki yaani amekutana na better half hivyo anafunga ndoa.
Alivyo na jeuri kanipa na kadi kabisa. Hapa nimepanga na wahuni wa kitaa tukamharibie. Yaani hawezi niacha kizembe hivi. Ameanzisha lazima nimalizie, ngoja leo nilewe kabisa.
Unaliwa nyuma?Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.