Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kijana wa hovyo Sanaa wewe . Utaenda kulewa utaenda kuuwawa au kujiua ama kuua ama kuzulu MWILI utajikuta upo GEREZANI.Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.
Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka kuwa hanitaki yaani amekutana na better half hivyo anafunga ndoa.
Alivyo na jeuri kanipa na kadi kabisa. Hapa nimepanga na wahuni wa kitaa tukamharibie. Yaani hawezi niacha kizembe hivi. Ameanzisha lazima nimalizie, ngoja leo nilewe kabisa.
Mapenzi hayalazimishwi na ukiachwa achika jifunze KU "LET IT GO" Jifunze KU MOVE ON
Tulisha pita issue ngumu zaidi yako na still tupo hai ""Tulipoteza kila kitu tulicho kipambania Maisha wazazi, ndugu, marafiki na hata mpenzi wa moyo alisema HANITAKI""
Tulijiliwaza na mziki na mungu akatuongoza "Mapishi ya upendo" kaa Chini pambana uwe Bora zaidi.
#YOLO