Mchumba wangu wa miaka 5 anafunga ndoa kesho inaniuma sana, nifanyaje?

Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.

Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka kuwa hanitaki yaani amekutana na better half hivyo anafunga ndoa.

Alivyo na jeuri kanipa na kadi kabisa. Hapa nimepanga na wahuni wa kitaa tukamharibie. Yaani hawezi niacha kizembe hivi. Ameanzisha lazima nimalizie, ngoja leo nilewe kabisa.
Utaishia pabaya mkuu
 
Jitahidi uachane naye .
Mwenzio niliachwa na wife na tumezaa ila akaomba talaka na akadhibitisha watoto si wangu alafu nikapewa kadi ya harusi siko alipoolewa na bwana mpya ,nilihudhuria nilikuwa kila muda naenda chooni kufuta machozi na kurudi ukumbini ila sikufanya chochote zaidi nakumbuka nililewa Sana mpaka wakanibeba kunipeleka kwangu .

Alafu asubuhi nilikaa kikao na halmashauri ya kichwa changu ili tujadili kilichojiri na kipi kinafanyika ,halmashauri na kichwa kwa pamoja turiridhia kuacha yaliyopita yapite ,Sasa ni miaka mingi nipo nadunda na mzima wa afya kaka .

Jifunze kukubali yapite ndugu ,uhai na afya yako ni Bora kuliko mapenzi ,dah umeniumiza Mara ya pili nimeandika nalia tena 😭😭😭😭😭😭😭😭
Sasa ulienda yanini harusini?
Kuna watu mnayapenda maumivu yaani unayapalilia kabisa na kuyamwagilia ili yamee uyavune vizuri.
 
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.

Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka kuwa hanitaki yaani amekutana na better half hivyo anafunga ndoa.

Alivyo na jeuri kanipa na kadi kabisa. Hapa nimepanga na wahuni wa kitaa tukamharibie. Yaani hawezi niacha kizembe hivi. Ameanzisha lazima nimalizie, ngoja leo nilewe kabisa.
Miaka Mitano ya uchumba amefanya chaguo sahihi wewe sio muoaji
 
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.

Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka kuwa hanitaki yaani amekutana na better half hivyo anafunga ndoa.

Alivyo na jeuri kanipa na kadi kabisa. Hapa nimepanga na wahuni wa kitaa tukamharibie. Yaani hawezi niacha kizembe hivi. Ameanzisha lazima nimalizie, ngoja leo nilewe kabisa.
Wewe ndio mwenye makosa miaka mitano mtoto wawatu huja muoa na age ina muacha. Kwanini wajuzi wa mambo wasimchukue.
 
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.

Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka kuwa hanitaki yaani amekutana na better half hivyo anafunga ndoa.

Alivyo na jeuri kanipa na kadi kabisa. Hapa nimepanga na wahuni wa kitaa tukamharibie. Yaani hawezi niacha kizembe hivi. Ameanzisha lazima nimalizie, ngoja leo nilewe kabisa.
Acha ujinga dogo eti amelianzisha. Huyo Ni mke wa mtu Sasa.
Ungekua unampenda kweli ungekwenda kwao mapema kujitambulisha na vizawadi vya hapa na pale.
 
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.

Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka kuwa hanitaki yaani amekutana na better half hivyo anafunga ndoa.

Alivyo na jeuri kanipa na kadi kabisa. Hapa nimepanga na wahuni wa kitaa tukamharibie. Yaani hawezi niacha kizembe hivi. Ameanzisha lazima nimalizie, ngoja leo nilewe kabisa.
Huyo ni wa kumteka tu
 
20240503_173623.jpg
 
Kama kwako mapenzi yanauma kuliko chochote na huyo malaya anatembea na nusu ya uhai wako nakushauri kajiue tu, kengemaji.

Kwanza ngoja nilog out, nimeshachukia.
 
Kama kweli alikua anaridhika atakukumbuka siku moja akutafute..lol
 
Back
Top Bottom