Mchumba wangu wa miaka 5 anafunga ndoa kesho inaniuma sana, nifanyaje?

Pole sana kaka, Mungu akupe nguvu
 
Pole ndugu
 

Mwanajf, kama wewe ni Muislam, basi nakunasihi, uachane na unachotaka kukifanya. Ulikuwa katika zinaa, na hilo lililokutokea lilikuwa ni matokeo ya yale uliyoyachuma. Ni adhabu kwa kile ulichokifanya, huenda likawa kheri kwako hilo lau kama utatambua hilo na kuzinduka na kutubia.

Kama wewe ni Muislam, nakuusia kutubia na kujinyenyekeza kwa Allah na kudhamiria kutorudia maasi.

Unachotaka kukifanya ni kibaya na hutopata nafuu. Yaani unafanya dhambi, unapata mtihani, badala ya mtihani kukufanya uwe humble kwa ajili ya Allah na kutubia kwake na kurekebisha jambo lako unataka kukaza msuli upambane kwa dhambi zaidi.

Yangu hayo tu.
 

If at all this story is kegit.

Ni ujinga kutaka kumharibia mtu harusi yake kwa sababu kakuacha.

Mpaka uachwe ushafanya makosa sehemu, sasa unataka kuongeza kosa la kuharibu harusi ya mtu?

Katika wanawake wote wa dunia hii unemuona huyo tu? Huna uwezo wa kupata mwingine?
 
Umekosa vyote mke na watoto kwa siku moja.

Sorry but, I you don't mind me asking, unaendeleaje? Umefanya comeback??
 
Umekosa vyote mke na watoto kwa siku moja.

Sorry but, I you don't mind me asking, unaendeleaje? Umefanya comeback??
Niko salama wa afya ,sijafanya come back yoyote ila nimegundua kuwa haitakiwi Mimi nimpende mwanamke wa kuoa ila anipende yeye baada ya kumpata mdada mzuri mmoja wa mji wa mbeya ili nimuoe ,akanipiga kibuti baada ya kumvutia hela afanye biashara ,akaenda kuolewa na mlina asali huko Tabora .
Itoshe kusema nipo kama Jana ,sielewi moja Wala mbili ila kiafya nimejaa tele na Sina mpango wa Mambo hayo kwasasa
 
Pole sana, kama hii ni kwel, nisaidie kufahma machache.

Ulikua na umri gani?
Mlikua na ndoa ya miaka mingapi?
Mlikua na watoto wangap?
Watoto walikua na umri gani?

Ahsante.
Pole once again.
 
Mzee mbona kila mwanamke anakufanyia hivo, au sio fungu lako?

Maumivu back-to-back, aisee una nguvu sana kaka.
 
Sasa huoni wewe ndio mwenye matatizo fikiria huyo ni mwanamke amekaa na wewe miaka mitano na inawezekana alishakuambia mfunge ndoa ukawa unapiga kalenda. Akijiangalia anaona anapoteza muda kwa mtu ambae hana hana mpango wa kuoa. Cha kukushauri achana na nia ovu usimharibie sherehe mtoto wa watu
 
Unaliwa nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…