Mchumba wangu wa miaka 5 anafunga ndoa kesho inaniuma sana, nifanyaje?

Kijana wa hovyo Sanaa wewe . Utaenda kulewa utaenda kuuwawa au kujiua ama kuua ama kuzulu MWILI utajikuta upo GEREZANI.

Mapenzi hayalazimishwi na ukiachwa achika jifunze KU "LET IT GO" Jifunze KU MOVE ON

Tulisha pita issue ngumu zaidi yako na still tupo hai ""Tulipoteza kila kitu tulicho kipambania Maisha wazazi, ndugu, marafiki na hata mpenzi wa moyo alisema HANITAKI""

Tulijiliwaza na mziki na mungu akatuongoza "Mapishi ya upendo" kaa Chini pambana uwe Bora zaidi.

#YOLO
 
Tunaomba update nini nkinachoendelea huko kwenye harusi ile jana ndio leo.
Ushauri wangu kama ukiona kitu au mtu hakutaki muache au kiache kiende tu.
 
Uchumba miaka 5, were you serious??? Ulikuwa unafanya research au Thesis !
Acha aolewe, nawe jipange upyaaa wala usiende harusini kufanya fujo utarudi kilema.
 
Kunywa maji tulia.
Wanawake wote wapo sawa tabia zao, utapata mwingine . Tulizana kwa sababu hukuandikiwa
 
ukiachwa achika mzee usije kuishia kama wale wajeda wa huyo mtoto....
Not every venture ends in climax, a fact well known to many women.
 
Kwani kasema hakupi tena? Kuolewa sio shida bwana ameona akupunguzie majukum we tafuta tu nna uwe unakipiga bure sasa.
 
Mambo ya kulipa kisasi ukiachwa naonaga wanafanya wanawake tu kwa kusema amechezewa ila mwanaume ni ujuha kufanya hivyo, tumia akili sio hisia
 
Tafuta hela achana na hao marafiki wahuni watakuponza, unamuona nyundo na wenzake muda si mrefu wanakula mvua za kutosha. Kuna wanawake zaidi ya billion 5 duniani kwanini mmoja akutese.
Ukipata nafasi fanya utalii wa kuzunguka mikoa ya Tanganyika uone vinono na mema ya nchi hii. Kijana usisahau tu kubeba ndom za kutosha anzia Babati halafu Singida ndio uendelee sehemu nyingine..
 
Mlejesho mwaangu mlimaliza soo sasa waambie wanao kuna show apa uyore kesho saa 9 mchana tumuhalibie na huyu wazeee
 
Kunywa sumu ujifie
 
Kausha dogo,Wacha watu wahalalishe ndoa! Miaka 5uchumba tuu Muachie jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…