StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Ni kweli kabisa,cha msingi hizo Sheria na taratibu zisiwe kandamizi. Hilo tu!.Nchi lazima iongozwe kwa sheria na taratibu. Dini haiwezi kukwepa hilo, huyo mzee wa upako asilete vitisho vyake vya kijuha.
nikuridishe kwenye point. JPM alijenga imani ya wananchi kwa serikali yao.hata kama kuna wachache waliokuwa wanaumia na uongozi wake lakini hukusikia watanzania wakiwa na hofu na uongozi wake .refer alivyoshugulika na swala la covid , watanzania walikua nae bega kwa bega katika maamuzi yake juu ya swala la covid ,haya ndugu yangu nikuulize hali ipoje kwa watanzania juu ya namna SSH ananyoshughulika na swala la covid ,ana support ya watanzania . jibu ni NO. watu bado wanapiga nyungu swala la chanjo hawataki kusikia. same kwenye swala la tozo . kupotea kwa kina ben saa nane usifikiri kuwa ni watanzania wote waliumia ,kuminywa kwa uhuru wa siasa usifikiri watanzania walikua wana time na siasa zao . watanzania walikua na imani na raisi wao. tofauti na sasaaNawe ulikuwa na maslahi na JPM.
Hakuna kiongozi amepuyanga bila kujua analipeleka wapi yaifa kama JPM.
Huyo jamaq alikuwa na roho mbaya sana japo...narudia japo angeendelea na uongozi miaka mingine mitano angetufanya majasiri na wa bunifu lkn halikuwa lengo lake.
Kumbuka wakati wa mateso watu huwa na njia mbadala za kuishi.
Marudia Jpm alikuwa na roho chafu...japo alikuwa na mazuri sana machache pamoja na uchapaji kazi.
Lazima tubadilike. Tusipigane kijinga. Kila adui yao ni mshirika wetu.Mzee wa upako hapiganii haki na usawa kwa watu wote au kwa sababu anaipenda sana Tanzania. Anofokafoka na kutokwa na povu kwa sababu ya taarifa za taratibu mpya za 'usajili' zilizozimika ghafla na pia kuhisi kusogezwa mbali na meza kuu tofauti na miaka tano iliyopita.
Muambie sasa huyo mzee wenu wa upako aache kutishia kuvurugika kwa amani ya nchi kwa sababu maslahi yake yameguswaKila mtu hata wewe unaangalia maslahi yako, yakiguswa hatuwezi kuongea lugha moja
umejibu hoja gani hapo.EeenHeee!
"...lakini kiuhalisia almost watanzania wote walikuwa na imani na uongozi wake...."
"...kiufupi wakati wa JPM hakuna namna watanzania walikua wana furaha na uongozi wa JPM."
Hivi nyinyi watu siku hizi mnaokotwa pori gani, maanake ni kama huko hata mwanga haupo kabisa!
Na unajiita "Dr Dre"!
Ccm wachawi tu na hawana uwezo wa kupima hojaLazima tubadilike. Tusipigane kijinga. Kila adui yao ni mshirika wetu.
Baadhi ya washirika kwenye kupambana na apartheid walitaka mbususu za kizungu tu.
Hata hao Mandela aliwapokea sembuse mzee wa upako?
Mnataka kupigana wenyewe peke yenu? Wacheni tuyajaze magereza!
Hata kigogo kule jamhuri ya Twitter kunatakikana truce haraka.
"Kumbuka, wakati wa mateso watu huwa na njia mbadala za kuishi"; na pia watu hao hao huwa wabunifu wa njia za kupunguza/kuondoa mateso.Nawe ulikuwa na maslahi na JPM.
Hakuna kiongozi amepuyanga bila kujua analipeleka wapi yaifa kama JPM.
Huyo jamaq alikuwa na roho mbaya sana japo...narudia japo angeendelea na uongozi miaka mingine mitano angetufanya majasiri na wa bunifu lkn halikuwa lengo lake.
Kumbuka wakati wa mateso watu huwa na njia mbadala za kuishi.
Marudia Jpm alikuwa na roho chafu...japo alikuwa na mazuri sana machache pamoja na uchapaji kazi.
Lkn atajuta"Kumbuka, wakati wa mateso watu huwa na njia mbadala za kuishi"; na pia watu hao hao huwa wabunifu wa njia za kupunguza/kuondoa mateso.
Huyu 'Mamaa Mizinguo' kwa kuendeleza maovu, anaharakisha watu watu watafute njia za kuondokana na mateso. Kiufupi, anakamilisha kazi iliyokuwa ameianza Magufuli, ya kuididimiza CCM.
Kwani kuna hoja ya kujibu pale?umejibu hoja gani hapo.
Hata wasiojulikana wakitubu tunawakaribisha kundini, Yesu alitoa mfano bora wa mwana mpotevu kurudi nyumbani na kuomba msamaha
Hahaha eti mbususuKuna jamaa wanashangaza. Wako nyuma ya keyboards na fake ID.
Baadhi ya wakimbizi SA walihitaji mbususu za kizungu tu wala si zaidi ya hapo.
Bado walikaribishwa kwa harakati za ukombozi ikiwamo michango yao yenye uelekeo wa uchakataji papuchi sembuse mzee wa upako?!
basi mkuu , siwezi lumbana na mtu asiyejua hata nini maana ya hojaKwani kuna hoja ya kujibu pale?
nikuridishe kwenye point. JPM alijenga imani ya wananchi kwa serikali yao.hata kama kuna wachache waliokuwa wanaumia na uongozi wake lakini hukusikia watanzania wakiwa na hofu na uongozi wake .refer alivyoshugulika na swala la covid , watanzania walikua nae bega kwa bega katika maamuzi yake juu ya swala la covid ,haya ndugu yangu nikuulize hali ipoje kwa watanzania juu ya namna SSH ananyoshughulika na swala la covid ,ana support ya watanzania . jibu ni NO. watu bado wanapiga nyungu swala la chanjo hawataki kusikia. same kwenye swala la tozo . kupotea kwa kina ben saa nane usifikiri kuwa ni watanzania wote waliumia ,kuminywa kwa uhuru wa siasa usifikiri watanzania walikua wana time na siasa zao . watanzania walikua na imani na raisi wao. tofauti na sasaa
Hamjifunzi tu kwa Mange, Chahali, Nyalandu, Gwajima, Kakobe, Lowassa na Kigogo?Lazima tubadilike. Tusipigane kijinga. Kila adui yao ni mshirika wetu.
Baadhi ya washirika kwenye kupambana na apartheid walitaka mbususu za kizungu tu.
Hata hao Mandela aliwapokea sembuse mzee wa upako?
Mnataka kupigana wenyewe peke yenu? Wacheni tuyajaze magereza!
Hata kigogo kule jamhuri ya Twitter kunatakikana truce haraka.
Bro iko hivi;Hamjifunzi tu kwa Mange, Chahali, Nyalandu, Gwajima, Kakobe, Lowassa na Kigogo?
Hamuwezi kutofautisha watu wenye misimamo ya kweli na wakosa fursa wenye gubu tu ?
Mzee wa upako atawashangaza baada ya mfupi tena.
Kama vile una akili njemaUnaelewa maana ya 'hofu' ? Kama unataka kuelewa maana yake
1.Kawaulize shangazi zake majaliwa wanaolima Korosho huko kusini?
2. Muulize Tundu Lissu, Mo Dewji, Roma, Ben Saa Nane na familia zao
3. Waulize wakosoaji wa utawala wa jiwe
4.Waulize waliobomolewa nyumba zao Kimara
5.Waulize wafanyabiashara wa Bureau de Change
6.Waulize wahanga wa Sabaya na Bashite
Kama hofu kwako wewe ni chanjo ambayo ni hiyari na una weza kuendelea na mitishamba yako basi wewe umebeba kichwa kama boksi la kuhifadhia meno tu.