Kashike kaburi la Baba yako ubarikiweKwa wasio na baba hizo baraka wanazipataje ??
Kama hujawahi kumjua hata baba yako ni nani au hakuna hata hilo kaburi la baba??Kashike kaburi la Baba yako ubarikiwe
Jinsia ya kiume kutoka kwenye ukoo wa baba ,baba,baba mdogo/mkubwa,babu,mjombaKwa wasio na baba hizo baraka wanazipataje ??
Kuna watu hawaujui hata ukoo wao, walitupwa au walipatikana kwa one night stand na mama yao hajui baba yao ni yupi.Jinsia ya kiume kutoka kwenye ukoo wa baba ,baba,baba mdogo/mkubwa,babu,mjomba
Zaburi 68:5... “Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake takatifu.”Kama hujawahi kumjua hata baba yako ni nani au hakuna hata hilo kaburi la baba??
Wala hata si mchungaji bali ni maandiko... taja kwenye biblia ni mwanamke gani aliyewai kubariki watoto wakeYaan aliye beba mimba miezi 9, na akajifungua kwa uchungu, akanyonyesha ziwa lake kwa miaka kadhaa, na kumlea kwa mapenzi na kila hali, eti asitoe baraka,
Kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi.
Mfumo Dume ni janga kuu kwa sasa. Huyo Mchungaji ajitafakari kwa kina. Kwa hayo mahubiri yake.
Mimi nakubaliKwa hiyo unakubalo Mama hapaswi kutoa baraka
Mbona biblia inajieleza, ebu somaKuna watu hawaujui hata ukoo wao, walitupwa au walipatikana kwa one night stand na mama yao hajui baba yao ni yupi.
Kuna watu walikuwa Waislamu wametengewa na familia zao, hao sio yatima.Zaburi 68:5... “Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake takatifu.”
Kifo cha baba hakimaanishi kwamba mtoto amepoteza nafasi ya kupata baraka za Mungu.
Nipewe baraka na baba wa kambooo mbooo!!!! Acha basi🤣🤣🤣 as long as ni Baba anatakiwa akupe baraka
Ulitaka kusema nini hapo?Yaan aliye beba mimba miezi 9, na akajifungua kwa uchungu, a kwa
Kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi.
Mfumo Dume ni janga kuu kwa sasa. Huyo Mchungaji ajitafakari kwa kina. Kwa hayo mahubiri yake.