Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Ndio maana nimesema enzi hizo wakati mtoto mmoja baba mmoja 1:1Huyo wa Kambo sio Baba yako, na hakuna Baba wa kambo kwenye biblia.
😁
Ndio maana nimesema enzi hizo wakati mtoto mmoja baba mmoja 1:1Huyo wa Kambo sio Baba yako, na hakuna Baba wa kambo kwenye biblia.
Ubinafsi mnao nyie wanaume, unao sababishwa na mfumo dume. Ndio maana mnachukua hivyo vifungu vinavyo wa favor nyie tu. Vingine aaah.wewe ndio ujitafakari, umewekewa had vifungu vya biblia! Tatzo ubinafs ndio umekujaa, wanawake kama niny ndo mnawamezeshaga sumu kuwachonganisha watoto na baba il baba aonekane hana umhm
Kwa kifupi, usichanganye kutokuwepo kwa ushahidi na ushahidi wa kutokuwepo; na usichanganye historia ya mfumo dume na uthibitisho kwamba kila kipengele cha dini kimeundwa kwa manufaa ya wanaume.Hakuna Baraka.
Baraka ni illusions tu.
Halafu dini zina pendelea sana wanaume kwa sababu waanzilishi wa hizi dini ni wanaume.
Kwani mama akaamua kumtamkia mwanae baraka, shida iko wapi? Au tatizo nini hapo?Baraka ya mama ni automatically ila ya baba ni vizuri akaitamka
Basi hakuna umuhimu wa baba katika hayo mambo ya baraka.Kutokuwa na Baba haimaanishi uwezi kubarikiwa... MUNGU utoa Baraka hata muda mwingine bila kuombwa
Tatizo ni kuchanganya mambo matatu tofauti: imani, falsafa na ukweli unaoweza kuthibitishwa kisayansi. Ni kweli kwamba baraka, laana na karma hazijathibitishwa kisayansi kama nguvu zisizoonekana zinazoweza kuathiri maisha ya mtu kwa namna ya kimiujiza. Lakini kusema kila anayeziamini ni mjinga ni kushambulia watu badala ya kujibu hoja. Mtu anaweza kuwa na elimu kubwa na bado akawa na imani za kiroho.
Pia, karma inaeleweka tofauti na baraka na laana katika dini mbalimbali. Huwezi kuvichanganya vyote na kuvihukumu kwa sentensi moja. Kama una ushahidi kwamba havina uhalisia, uweke mezani. Na kama mtu anadai vinafanya kazi, naye aonyeshe ushahidi. Kutokuamini jambo si uthibitisho kwamba halipo, kama ambavyo kuliamini si uthibitisho kwamba lipo. Hoja hujengwa kwa ushahidi, si kwa kuwaita wengine wajingTatizo ni kuchanganya mambo matatu tofauti: imani, falsafa na ukweli unaoweza kuthibitishwa kisayansi. Ni kweli kwamba baraka, laana na karma hazijathibitishwa kisayansi kama nguvu zisizoonekana zinazoweza kuathiri maisha ya mtu kwa namna ya kimiujiza. Lakini kusema kila anayeziamini ni mjinga ni kushambulia watu badala ya kujibu hoja. Mtu anaweza kuwa na elimu kubwa na bado akawa na imani za kiroho.
Pia, karma inaeleweka tofauti na baraka na laana katika dini mbalimbali. Huwezi kuvichanganya vyote na kuvihukumu kwa sentensi moja. Kama una ushahidi kwamba havina uhalisia, uweke mezani. Kutokuamini jambo si uthibitisho kwamba halipo, kama ambavyo kuliamini si uthibitisho kwamba lipo. Hoja hujengwa kwa ushahidi, si kwa kuwaita wengine wajinga.
Mbona kuna vifungu vya maandiko hamkubaliani navyo, kwa kuwa vipo against na hulka yenu wanaume, na mfumo dume,Nani anayesema maandiko yamepitwa na wakati... kwa hiyo ni katiba
Maandiko yamekuwepo Karne nyingi hata kabla ya hiyo simu kuvumbuliwa
Subiri wanaume wenzio wakupopoe hapa.
😂😂😂😂
Uongo! Huu ni UNAFIKI.Sio wote wanaopinga maandiko pia ukishaweka akili yako kupinga ,itakutengenezea energy yakupinga kila kitu
Nampa pole sana huyo jamaa aliyejiweka kwako, inaonekana huwa unataka uwe juu yake, vile wew unakua muongeaj zaid yake! Kichwa cha familia ni baba na baraka zote za familia zinaanzia kwa baba, baba ndo anapanga aishje na familia yake, wew unawezaje kubarik watoto, toka ln ulisikia mama anatoa baraka?Ubinafsi mnao nyie wanaume, unao sababishwa na mfumo dume. Ndio maana mnachukua hivyo vifungu vinavyo wa favor nyie tu. Vingine aaah.
UNAFIKI.
Sio Code ni ukweli, kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi. Km unabisha weka hoja zako tujadili.Kwa hiyo kwa mujibu wako hayo ndiyo yangekuwa majibu yako ila umeandika kama code!
Nimekuelewa.
Prove me wrong!Uongo! Huu ni UNAFIKI.
Nakwambia hivi, Hakuna baraka.Kwa kifupi, usichanganye kutokuwepo kwa ushahidi na ushahidi wa kutokuwepo; na usichanganye historia ya mfumo dume na uthibitisho kwamba kila kipengele cha dini kimeundwa kwa manufaa ya wanaume.
Haitimii kwa minajiri ipi? Huu uongo katafute wa kuwachota sio hapaa.Uwa haitimii, tofauti na Baba alitoa Baraka.... mama anaweza kumuombea mwanae kwa Mwenyezi Mungu, nae akapata baraka...
Moja ya mijadala iliyokuwa na maoni mbalimbali ni hii video clip ya Mchungaji mmoja nchini Tanzania akisema kuwa Baba au Mwanaume ndio anapaswa kutoa Baraka na si Mama.
Watu wengi wameunga mkono na wengine kupingana nae.
Wengine walienda mbali na kurejea visa mbalimbali kwenye biblia
Mwanzo 27:27–29 — Isaka anambariki Yakobo
Isaka alimbariki Yakobo kwa kumtamkia mafanikio, mamlaka na maisha yenye baraka. Hili lilikuwa tukio muhimu katika historia ya baraka za baba kwa mtoto wake katika Agano la Kale.
Mwanzo 48:15–20 — Yakobo anawabariki wana wa Yosefu
Yakobo aliwawekea mikono Efraimu na Manase na kuwabariki. Hata aliweka mkono wake wa kuume juu ya Efraimu, mwana mdogo, badala ya Manase, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza.
Mwanzo 49:1–28 — Yakobo anawabariki wanawe kumi na wawili
Yakobo aliwakusanya wanawe na kutamka maneno yaliyohusu maisha na mustakabali wao.
Nini maoni yako mdau
View: https://www.instagram.com/reel/Dec0ePXjILq/?vrfl=aXh4M2EzOXAzbXY4

Nimpe pole huyo mwenzangu aliyejichomeka kwako, maana anaishi na Dikteta kwa kipitio cha ndoa,Nampa pole sana huyo jamaa aliyejiweka kwako, inaonekana huwa unataka uwe juu yake, vile wew unakua muongeaj zaid yake! Kichwa cha familia ni baba na baraka zote za familia zinaanzia kwa baba, baba ndo anapanga aishje na familia yake, wew unawezaje kubarik watoto, toka ln ulisikia mama anatoa baraka?
Kwa kweli 😂😂😂Nakwambia hivi, Hakuna baraka.
Baraka ni illusions zinazo aminiwa na watu wajinga wajinga tu.
Mama ndio kila kitu kwa mtoto, kwani we huoni??Prove me wrong!