Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
Nipe reference!Mama ndio kila kitu kwa mtoto, kwani we huoni??
Nipe reference!Mama ndio kila kitu kwa mtoto, kwani we huoni??
Ukute ni washirika wa huyo mchungaji😁
Wewe unayeviamini ndiye unatakiwa ulete ushahidi au uthibitisho.Tatizo ni kuchanganya mambo matatu tofauti: imani, falsafa na ukweli unaoweza kuthibitishwa kisayansi. Ni kweli kwamba baraka, laana na karma hazijathibitishwa kisayansi kama nguvu zisizoonekana zinazoweza kuathiri maisha ya mtu kwa namna ya kimiujiza. Lakini kusema kila anayeziamini ni mjinga ni kushambulia watu badala ya kujibu hoja. Mtu anaweza kuwa na elimu kubwa na bado akawa na imani za kiroho.
Pia, karma inaeleweka tofauti na baraka na laana katika dini mbalimbali. Huwezi kuvichanganya vyote na kuvihukumu kwa sentensi moja. Kama una ushahidi kwamba havina uhalisia, uweke mezani. Na kama mtu anadai vinafanya kazi, naye aonyeshe ushahidi. Kutokuamini jambo si uthibitisho kwamba halipo, kama ambavyo kuliamini si uthibitisho kwamba lipo. Hoja hujengwa kwa ushahidi, si kwa kuwaita wengine wajingTatizo ni kuchanganya mambo matatu tofauti: imani, falsafa na ukweli unaoweza kuthibitishwa kisayansi. Ni kweli kwamba baraka, laana na karma hazijathibitishwa kisayansi kama nguvu zisizoonekana zinazoweza kuathiri maisha ya mtu kwa namna ya kimiujiza. Lakini kusema kila anayeziamini ni mjinga ni kushambulia watu badala ya kujibu hoja. Mtu anaweza kuwa na elimu kubwa na bado akawa na imani za kiroho.
Pia, karma inaeleweka tofauti na baraka na laana katika dini mbalimbali. Huwezi kuvichanganya vyote na kuvihukumu kwa sentensi moja. Kama una ushahidi kwamba havina uhalisia, uweke mezani. Kutokuamini jambo si uthibitisho kwamba halipo, kama ambavyo kuliamini si uthibitisho kwamba lipo. Hoja hujengwa kwa ushahidi, si kwa kuwaita wengine wajinga.
kama mwanamke ndo wa hiv, kataa ndoa nawapa point 3 na magoli ma3Nimpe pole huyo mwenzangu aliyejichomeka kwako, maana anaishi na Dikteta kwa kipitio cha ndoa,
Km mwanaume ndio fikra na mawazo yako ni hayo? Huyo mwanamke kazi anayo.
Mama ni m1 tu, ila baba ni wengi, soma hiyo sentence kwa umakini utapata kitu.Nipe reference!
Vyovyote ni sawa.kama mwanamke ndo wa hiv, kataa ndoa nawapa point 3 na magoli ma3
Ikiwa hivyo naamini watakua wa kwanza kumkosoa!Ukute ni washirika wa huyo mchungaji😁
Kubeba mimba wala sio adhabu, au hisani; ni wajibu tu wa kimaumbile.Yaan aliye beba mimba miezi 9, na akajifungua kwa uchungu, akanyonyesha ziwa lake kwa miaka kadhaa, na kumlea kwa mapenzi na kila hali, eti asitoe baraka,
Kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi.
Mfumo Dume ni janga kuu kwa sasa. Huyo Mchungaji ajitafakari kwa kina. Kwa hayo mahubiri yake.
Soma bible usilete hadithi za 50/50 wapi uliskia mwanamke akimbariki mtotoMama ni m1 tu, ila baba ni wengi, soma hiyo sentence kwa umakini utapata kitu.
...du kuna watu hawawajui kabisa baba zao...huende walishakufa na haijulikani walifia au kuzikwa wapi!Kashike kaburi la Baba yako ubarikiwe
Sio lazima kila mtu abarikiwe....du kuna watu hawawajui kabisa baba zao...huende walishakufa na haijulikani walifia au kuzikwa wapi!
Umejibu kikatili sana aissSio lazima kila mtu abarikiwe.
Ndio hivyo brother. Sio kila kitu ni kwa kila mtu.Umejibu kikatili sana aiss
Asimbariki kwanini? Na alimzaa yeye?Soma bible usilete hadithi za 50/50 wapi uliskia mwanamke akimbariki mtoto
Sema wewe, subiri wanaume wenzio wakupopoe hapa.Ana uhakika huyo mtoto ni wa huyo baba ache kujitoa ufahamu nae huyo mchungaji.
Kuna watu wana siri na watakufa nazo mioyoni mwao.
Mama aheshimiwe bwaanaq.
Na huyo baba kutoa baraka ni nini??Kubeba mimba wala sio adhabu, au hisani; ni wajibu tu wa kimaumbile.
Baraka is a spiritual issue! Ni suala la kikuhani zaidi kuliko maumbile.Na huyo baba kutoa baraka ni nini??