Mchungaji: Baba ndio anapaswa kutoa Baraka kwa watoto na si Mama

Mchungaji: Baba ndio anapaswa kutoa Baraka kwa watoto na si Mama

Yaan aliye beba mimba miezi 9, na akajifungua kwa uchungu, akanyonyesha ziwa lake kwa miaka kadhaa, na kumlea kwa mapenzi na kila hali, eti asitoe baraka,

Kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi.

Mfumo Dume ni janga kuu kwa sasa. Huyo Mchungaji ajitafakari kwa kina. Kwa hayo mahubiri yake.
Mahubiri mengine ya hovyo. Ati mhubiri mwenyewe ana PhD. Duniani unaweza kujifunza hata uongo na ukapata PhD ya uongo au ujinga. Siyo kila mwenye PhD ni wa kumsikiliza.
 
Baraka, laana, karma ni imani za kufikirika tu hazina uhalisia wowote. Ukiwa mjinga utaamini zipo na zinafanya kazi.
hakujawai kuwepo kwa laana, baraka,neema,nuksi,wala mikosi, ...ni ufinyu tu bongo za watu
 
Kama hujawahi kumjua hata baba yako ni nani au hakuna hata hilo kaburi
Kama uliwahi muona kwa macho ukiwa unajitambua jiconnect na uwepo wake,tamka maneno ambayo ulitamani kumwambia au kuhisi unapokua nae
Nishati yake kwenye ulimwengu wa kiroho hutambua uzao wake na utapokea majibu
Ni kama alishafariki tayari

Na kama hukuwahi kumjua muulize mama yako kuhusu baba yako akwambie alipo na ukimpata akili kwamba wewe si mwanae then ulimwengu hutambua hiyo denial na uadhibu kwa namna yake
Hakuna dhambi kwenye hii dunia unaweza fanya ukisubiri hukumu mahali flani malipo huwa ni hapa hapa tu
 
Ujinga bado ni janga la taifa.
 
Back
Top Bottom