Hapo Yoda unakuwa ni uzembe wako we litoto na mamaako.Kama hujawahi kumjua hata baba yako ni nani au hakuna hata hilo kaburi la baba??
ShesRise_1 , binti kiziwi nchi ina upuuzi mwingi sana hii 🚮🚮🤦🏾♀️Moja ya mijadala iliyokuwa na maoni mbalimbali ni hii video clip ya Mchungaji mmoja nchini Tanzania akisema kuwa Baba au Mwanaume ndio anapaswa kutoa Baraka na si Mama.
Watu wengi wameunga mkono na wengine kupingana nae.
Wengine walienda mbali na kurejea visa mbalimbali kwenye biblia
Mwanzo 27:27–29 — Isaka anambariki Yakobo
Isaka alimbariki Yakobo kwa kumtamkia mafanikio, mamlaka na maisha yenye baraka. Hili lilikuwa tukio muhimu katika historia ya baraka za baba kwa mtoto wake katika Agano la Kale.
Mwanzo 48:15–20 — Yakobo anawabariki wana wa Yosefu
Yakobo aliwawekea mikono Efraimu na Manase na kuwabariki. Hata aliweka mkono wake wa kuume juu ya Efraimu, mwana mdogo, badala ya Manase, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza.
Mwanzo 49:1–28 — Yakobo anawabariki wanawe kumi na wawili
Yakobo aliwakusanya wanawe na kutamka maneno yaliyohusu maisha na mustakabali wao.
Nini maoni yako mdau
View: https://www.instagram.com/reel/Dec0ePXjILq/?vrfl=aXh4M2EzOXAzbXY4
Baba yako alikubeba kwenye korodani zake miaka mingapi? Hiyo miezi 9 tu kwa mama!Yaan aliye beba mimba miezi 9, na akajifungua kwa uchungu, akanyonyesha ziwa lake kwa miaka kadhaa, na kumlea kwa mapenzi na kila hali, eti asitoe baraka,
Kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi.
Mfumo Dume ni janga kuu kwa sasa. Huyo Mchungaji ajitafakari kwa kina. Kwa hayo mahubiri yake.
wewe ndio ujitafakari, umewekewa had vifungu vya biblia! Tatzo ubinafs ndio umekujaa, wanawake kama niny ndo mnawamezeshaga sumu kuwachonganisha watoto na baba il baba aonekane hana umhmYaan aliye beba mimba miezi 9, na akajifungua kwa uchungu, akanyonyesha ziwa lake kwa miaka kadhaa, na kumlea kwa mapenzi na kila hali, eti asitoe baraka,
Kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi.
Mfumo Dume ni janga kuu kwa sasa. Huyo Mchungaji ajitafakari kwa kina. Kwa hayo mahubiri yake.
Baraka ya mama ni automatically ila ya baba ni vizuri akaitamkaYaan aliye beba mimba miezi 9, na akajifungua kwa uchungu, akanyonyesha ziwa lake kwa miaka kadhaa, na kumlea kwa mapenzi na kila hali, eti asitoe baraka,
Kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi.
Mfumo Dume ni janga kuu kwa sasa. Huyo Mchungaji ajitafakari kwa kina. Kwa hayo mahubiri yake.
Maandiko gani? Haya haya mnayo pinga kuwa yamepitwa na wakati, na ni uongo? Nyie wanaume acheni UNAFIKI.Wala hata si mchungaji bali ni maandiko... taja kwenye biblia ni mwanamke gani aliyewai kubariki watoto wake
Tatizo ni kuchanganya mambo matatu tofauti: imani, falsafa na ukweli unaoweza kuthibitishwa kisayansi. Ni kweli kwamba baraka, laana na karma hazijathibitishwa kisayansi kama nguvu zisizoonekana zinazoweza kuathiri maisha ya mtu kwa namna ya kimiujiza. Lakini kusema kila anayeziamini ni mjinga ni kushambulia watu badala ya kujibu hoja. Mtu anaweza kuwa na elimu kubwa na bado akawa na imani za kiroho.Baraka, laana, karma ni imani za kufikirika tu hazina uhalisia wowote. Ukiwa mjinga utaamini zipo na zinafanya kazi.
Mkuu huwa una challenge kila kitu!Kuna watu hawaujui hata ukoo wao, walitupwa au walipatikana kwa one night stand na mama yao hajui baba yao ni yupi.
Subiri wanaume wenzio wakupopoe hapa.Baraka, laana, karma ni imani za kufikirika tu hazina uhalisia wowote. Ukiwa mjinga utaamini zipo na zinafanya kazi.
Nani anayesema maandiko yamepitwa na wakati... kwa hiyo ni katibaMaandiko gani? Haya haya mnayo pinga kuwa yamepitwa na wakati, na ni uongo? Nyie wanaume acheni UNAFIKI.
Sio wote wanaopinga maandiko pia ukishaweka akili yako kupinga ,itakutengenezea energy yakupinga kila kituMaandiko gani? Haya haya mnayo pinga kuwa yamepitwa na wakati, na ni uongo? Nyie wanaume acheni UNAFIKI.
Una uliza na unajibu wee mwenyewe.Ulitaka kusema nini hapo?
Kwamba mama atalombwa na wanaume randomly then toto litakalozaliwa litatambulika kwa sababu ya mama?
Watoto wengi tu duniani hawana baba zao kwa sababu nyingi sana.Hapo Yoda unakuwa ni uzembe wako we litoto na mamaako.
Hakuna mtoto asie na baba.
Beijing ikae mbali hapa ni scriptural facts tu!
Kwa hiyo kwa mujibu wako hayo ndiyo yangekuwa majibu yako ila umeandika kama code!Una uliza na unajibu wee mwenyewe.
Maandiko gani haya haya mnayo yabananga kila uchwao humu ndani? Au yepi?Baba yako alikubeba kwenye korodani zake miaka mingapi? Hiyo miezi 9 tu kwa mama!
Huyo Mchungaji amenukuu maandiko, si maneno yake