Mchungaji: Baba ndio anapaswa kutoa Baraka kwa watoto na si Mama

wewe ndio ujitafakari, umewekewa had vifungu vya biblia! Tatzo ubinafs ndio umekujaa, wanawake kama niny ndo mnawamezeshaga sumu kuwachonganisha watoto na baba il baba aonekane hana umhm
Ubinafsi mnao nyie wanaume, unao sababishwa na mfumo dume. Ndio maana mnachukua hivyo vifungu vinavyo wa favor nyie tu. Vingine aaah.

UNAFIKI.
 
Hakuna Baraka.

Baraka ni illusions tu.

Halafu dini zina pendelea sana wanaume kwa sababu waanzilishi wa hizi dini ni wanaume.
Kwa kifupi, usichanganye kutokuwepo kwa ushahidi na ushahidi wa kutokuwepo; na usichanganye historia ya mfumo dume na uthibitisho kwamba kila kipengele cha dini kimeundwa kwa manufaa ya wanaume.
 
Kutokuwa na Baba haimaanishi uwezi kubarikiwa... MUNGU utoa Baraka hata muda mwingine bila kuombwa
Basi hakuna umuhimu wa baba katika hayo mambo ya baraka.
 

Wamatumbi na ujinga:

 
Nani anayesema maandiko yamepitwa na wakati... kwa hiyo ni katiba

Maandiko yamekuwepo Karne nyingi hata kabla ya hiyo simu kuvumbuliwa
Mbona kuna vifungu vya maandiko hamkubaliani navyo, kwa kuwa vipo against na hulka yenu wanaume, na mfumo dume,
Khaaah
 
Kwani mama akaamua kumtamkia mwanae baraka, shida iko wapi? Au tatizo nini hapo?
Uwa haitimii, tofauti na Baba alitoa Baraka.... mama anaweza kumuombea mwanae kwa Mwenyezi Mungu, nae akapata baraka...
 
Ubinafsi mnao nyie wanaume, unao sababishwa na mfumo dume. Ndio maana mnachukua hivyo vifungu vinavyo wa favor nyie tu. Vingine aaah.

UNAFIKI.
Nampa pole sana huyo jamaa aliyejiweka kwako, inaonekana huwa unataka uwe juu yake, vile wew unakua muongeaj zaid yake! Kichwa cha familia ni baba na baraka zote za familia zinaanzia kwa baba, baba ndo anapanga aishje na familia yake, wew unawezaje kubarik watoto, toka ln ulisikia mama anatoa baraka?
 
Kwa hiyo kwa mujibu wako hayo ndiyo yangekuwa majibu yako ila umeandika kama code!

Nimekuelewa.
Sio Code ni ukweli, kuna mama m1 tu, ila kuna baba wengi. Km unabisha weka hoja zako tujadili.
 
Kwa kifupi, usichanganye kutokuwepo kwa ushahidi na ushahidi wa kutokuwepo; na usichanganye historia ya mfumo dume na uthibitisho kwamba kila kipengele cha dini kimeundwa kwa manufaa ya wanaume.
Nakwambia hivi, Hakuna baraka.

Baraka ni illusions zinazo aminiwa na watu wajinga wajinga tu.
 
Uwa haitimii, tofauti na Baba alitoa Baraka.... mama anaweza kumuombea mwanae kwa Mwenyezi Mungu, nae akapata baraka...
Haitimii kwa minajiri ipi? Huu uongo katafute wa kuwachota sio hapaa.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ok.
 
Nimpe pole huyo mwenzangu aliyejichomeka kwako, maana anaishi na Dikteta kwa kipitio cha ndoa,
Km mwanaume ndio fikra na mawazo yako ni hayo? Huyo mwanamke kazi anayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…