Mchungaji: Baba ndio anapaswa kutoa Baraka kwa watoto na si Mama

Wewe unayeviamini ndiye unatakiwa ulete ushahidi au uthibitisho.
Una mfano hata mmoja wa laana au baraka ?
 
Nimpe pole huyo mwenzangu aliyejichomeka kwako, maana anaishi na Dikteta kwa kipitio cha ndoa,
Km mwanaume ndio fikra na mawazo yako ni hayo? Huyo mwanamke kazi anayo.
kama mwanamke ndo wa hiv, kataa ndoa nawapa point 3 na magoli ma3
 
Kubeba mimba wala sio adhabu, au hisani; ni wajibu tu wa kimaumbile.
 
Ana uhakika huyo mtoto ni wa huyo baba ache kujitoa ufahamu nae huyo mchungaji.
Kuna watu wana siri na watakufa nazo mioyoni mwao.
Mama aheshimiwe bwaanaq.
 
Ana uhakika huyo mtoto ni wa huyo baba ache kujitoa ufahamu nae huyo mchungaji.
Kuna watu wana siri na watakufa nazo mioyoni mwao.
Mama aheshimiwe bwaanaq.
Sema wewe, subiri wanaume wenzio wakupopoe hapa.
😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…