Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na haki

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.

Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.

kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…

"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
 
View attachment 3316334
Hivi kule chadema wale COVID 19 ni lini watapatiwa haki zao ?
 
Pastor John hagee kwenye ujumbe wake unakichwa "The God of Peace" anakufundisha amani Nini you will come to realize Tanzania hatuna amani "There is no peace without right"
Kuna amani ya Uoga. Eliona ameweka vema. Tunashida kubwa ya Haki….. kwakua haki hakuna, metaphorically hatuna Amani

Wenye self realization mtamueelewa vema Mch. Eliona Kimaro
 
Watawala wanajua hilo waaaaay back, so wanachukua hatua gani, launch brainwashing campaign kaa kutumia siasa, and if doesnt work polis ku force mtazamo
 
Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.

Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.

kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…

"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Huyu si juzi tuu waliji selfie na malasusa wakiwa na huyo bibi ushungi pale ikulu mie nikajua wote wimbo wao ni amani bila haki, malasusa anawauza sana kwa roman cathilic ngumu sana viongozi wake kununuliwa na serikali labda yeye mwenyewe awe na hulka ya unafiki binafsi
 
Dola wanapenda kutumia propaganda sana. Lakini viongozi wa kikristu wakitoka hapo huwa akili zao zinakuwa sawa

Shida ni viongozi wa upande ule…. They dont have time to think and process
 
Kuna amani ya Uoga. Eliona ameweka vema. Tunashida kubwa ya Haki….. kwakua haki hakuna, metaphorically hatuna Amani

Wenye self realization mtamueelewa vema Mch. Eliona Kimaro
Our biggest problem ni HAKI
 
Kw
Dola wanapenda kutumia propaganda sana. Lakini viongozi wa kikristu wakitoka hapo huwa akili zao zinakuwa sawa

Shida ni viongozi wa upande ule…. They dont have time to think and process
A sababu haki na uhuru ukipatika mnakuwa bianafsi ni bora tuinge ccm kuliko hzo haki zenu vigangoni
 
Pastor John hagee kwenye ujumbe wake unakichwa "The God of Peace" anakufundisha amani Nini you will come to realize Tanzania hatuna amani "There is no peace without right"
Bila amani huwezi fanya kitu Mchungaji Kimaro kapotoka kwenye hilo
Amani ni kitu cha kwanza kabisa ili vingine vifanyike

Biblia inasema kwenye Mwanzo 1:2-3

"Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.

3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru."

Nchi ilipokuwa imejaa ukiwa na utupu na giza Roho ya Mungu ilitakiwa kuwa na amani kwanza ndipo akaanza kuumbs nuru nk

Bila amani hakuna kiwezacho fanyika iwe haki au chochote

Israel walipoona jeshi la farao liko nyuma na mbele kuna bahari walichanganyikiwa wakaambiwa wawe na amani ili wauone uwezo wa Mungu

Penye amani vingi vyaweza fanyika

Nchi kama kongo wana mali za asili zote ukosefu wa amani tu ndio kipengele kinawafanya wasiendelee na ukiwauliza wanasema wazi hitaji lao kubwa ni amani
 
Back
Top Bottom