Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Tena sanaHoja izingatiwe
Tena sanaHoja izingatiwe
Kazi kubwa mnoIla asiseme wamemaliza kazi, kwamba hawadaiwi! Bado kuna kazi ya kufanya kubwa tu
Zipi hizo, zitajeHivi kule chadema wale COVID 19 ni lini watapatiwa haki zao ?
G55 wanasemaje MekuHaki hipi ambayo hawajapewa
Walivyoonewa na Mzee MboweZipi hizo, zitaje
How?Walivyoonewa na Mzee Mbowe
Hivi Lema anaendeleaje?Wanalazimisha AMANI hawataki kutoa HAKI
Mtajijua mambo yenu ya kinyumbu nyumbuHow?
Umeshindwa ku prove ujinga wako, haya kakojoe ukalaleMtajijua mambo yenu ya kinyumbu nyumbu
Mama yako atakuwa ana jibu sahihiHivi Lema anaendeleaje?
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona KimaroTwende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…
"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Amani na utulivu, amani na Utulivu, hakuna sehemu inayosema Sheria na Haki vitendekeWanalazimisha AMANI hawataki kutoa HAKI
Jamaa alitaka kupindua meza😀"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
————————————————————————-
Umemnukuu vibaya hapo (see underlined). Alisema, “…kama hakuna haki hakutokuwa na amani”.
Inawezekana ni innocent typographical error!Jamaa alitaka kupindua meza😀
Neno moja kuja mbele lingine nyuma?Inawezekana ni innocent typographical error!
Katibu alikana barua si yake iliyowapeleka Bungeni.Lakini binge halikutaka kusikiaSi mliwapeleka bungeni na baadae mkawakana ?au ?