Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na haki

Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.

Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.

kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI chako…

"Hatuna shida kubwa ya amani, lakini tuna shida kubwa ya haki. Haki inahitajika sana katika maisha yetu, familia, taasisi tunazotumikia na duniani kote. Tunaomba haki itendeke kwa maana kama hakuna amani hakutokuwa na haki" - Mchungaji Eliona Kimaro
View attachment 3316334
Hatuna shida na Amani, Haki kwanza
 
Amani siyo watu kunyamaza unaweza kunyamaza Kwa kupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa

Tunataka amani ya kunyamaza wenyewe na haki
 
leo mkidai haki kwa misingi ya kubaguana kama mnavyoanza kufanya kwa sasa kwamba tunaongozwa na mzanzibar {mwislamu} ,tunataka tanganyika yetu { kwa sababu zanzibar hatuitaki ,hatunafaidhi nayo } ,hatuitaki tanganyika maana inatuzia kufanya mambo yetu kwa sheria za kislam{ zanzibar} ,nawambieni mtauana mpaka dunia itashangaa.hamjui mnajokitafuta.mtu aliyeshiba anaanza kujamba jamba bila aibu mbele za watu .shetani anawatamani sana mkamsaidie kupata damu za watu kwa vile Gaza ,ukraine,DRC congo,sudan ,somalia, rwanda na burundi miaka ile
 
Back
Top Bottom